huwenda anataka kujua how seroius you are,na labda kuna mtu mwingine anamsumbua so she wants to be on the safe side,asije akamtosa yule kumbe na wewe ni mpinda njia akaambulia patupu
atakuwa ana msongo wa ndoa huyo si bure hiyo haraka haraka siajabu ma shosti wake tayari wana miji.Anyway sikuhizi familia sijui zikoje mimi kwetu ni mwiko. Mtu anakuja kufahamika kwa wazazi siku ya kuleta mahari ndo anamvisha pete mchumba wake hapo mkwe ndo anafahamika. The same applied kwa mtoto wa kiume wao kumjua ni pale ambapo anakuwa mchumba wako rasmi ushatoa posa kabisa
anataka kumchunguza kwa miaka 5 huku anakula tunda
kwanini sasa?
Kwa visingizio hamjambo, mbona kugegeda unagegeda tu hata bila ya kufahamu hayo unayotaka kuyafahamu?