Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

Mwanamke anang'ang'ania ukajitambulishe kwao

kwao wananifahamu karibia familia nzima tena nakunbuka ilikuwa ndo kwanza mwezi mmoja tu...lakini hata kile kituo cha kushuka ili uende kwetu sijawahi kumuelekeza huu mwaka wa pili sasa.

kwanini sasa?
 
I think kw wengine kwenda kwao its nt necessry ndo ukatoe posa or smthng, bac tu wazaz wafahm she has smone and if God wish mengne ytafata. And....kusema unataka Kujiridhisha =means ua still in dout if she is the right one and tht mins.... ua not into her...
 
Ndio kajitambulishe, mbona kugegeda hausemi tufahamiane kwanza?
 
Wewe ni miongoni mwa wasichana wachache sana wa aina yako waliobaki hapa tz. Hongera sana hadi nimekutamani ghafla.

unazifahamu bikira za jf wewe? utatamani hadi wenye mahandaki.
 
uoga wako utakuadhibu, mwambie am nt rede, uone kama atashika bunduki, u how
 
kaka acha uoga nenda ukiona hivyo ujue uko peke yako for the time being mngekuwa wengi angekwambia nakaa masaki kumbe anakaa tandale we nenda tu kujitambulisha sio kulipa mahari wala sio kuoa ni mwanzo wa safari acha uoga na shukuru Mungu

Jamani tusilahisishe mambo swala la kujitambulisha kwa wazazi ni swala kubwa na lakuheshimu na lazima tuwaheshimu wazazi kama hujawa na nia ya moja kwa moja ya kuoa nibora usiende
 
Jamani tusilahisishe mambo swala la kujitambulisha kwa wazazi ni swala kubwa na lakuheshimu na lazima tuwaheshimu wazazi kama hujawa na nia ya moja kwa moja ya kuoa nibora usiende

Watu wanachukulia very simple.
 
Sasa si uende tu tena nenda na jamaa wa umri wa makamo si ni kama unaenda kusalimia tu kwani tatizp liko wapi au unahisi utaambiwa utoe mahari?
 
Sasa si uende tu tena nenda na jamaa wa umri wa makamo si ni kama unaenda kusalimia tu kwani tatizp liko wapi au unahisi utaambiwa utoe mahari?

Umeahawahi kufanya hivyo. Maisha sio kutest.
 
Back
Top Bottom