Kawaida tu mbona Skype
The way ulivopresent reply yako ndo nikahisi uko hivyo ulivyo.
Last edited by a moderator:
Kawaida tu mbona Skype
The way ulivopresent reply yako ndo nikahisi uko hivyo ulivyo.
We wapenda uchumba wa miaka mingapi kwani?
Magonjwa ya kurithi. Kukojoa kitandani nk.
Je nilivyovisema sio muhimu?
Aise kuna vitu vya msingi lazima mtu ujiridhishe.
Hapa sio suala la miaka. Jambo kubwa ni kufahamiana. Unajua kukutana kimjini mjini!!!?
Kabla ya nini?
Magonjwa ya kurithi
Ndio hata yeye alikua hanifahamu wakati anatembea na mimi.
Ni hamu tu imetuunganisha.
Kugegedana ni sehemu ya kujiridhisha. Au unaonaje?