ungempokea ungekuwa zuzu la mwishoWanawame wa sasa ukipigika ndipo utawajua vzuri.
Story yako inafànana fulani na ya kwangu ila yako ilikuwa ngumu zaidi.
Yule alibibadilikia kiasi ni kama vile sikuwahi kumfahamu kwa miaka yote 8. Nilikonda na kupoteza focus kwa miaka miwili.
Nashukuru kupitia kile niligraduate hatukuwa na watoto kila mtu akapita njia yake nikaanza jitafuta tena.
After miaka mitatu nimeanza kujipata anataka rudi maishani mwangu, nilimtimulia mbali.
Mkuu sahihi. Nimejifunza. Muda mwingine ili upate somo kamili lazima uonje maumivu ya makosa yakoSasa oa mwanamke mwingine usiyejua nasaba yake akuharibie tena maisha. Hivi mnapataga wapi wanawake wajinga hivyo. Msitangulize hisia wakati wa kutafuta mke kama unavyotafuta hawara. Kupata mke ni mchakato unaoanzia kwenu kwanza upate baraka za wazazi, kisha ushirikiane nao pamoja viongozi wa dini yako kuchagua mwanamke anayeendana na wewe.
Mkuu haiwezi, haitokaa itokeeSubiri mke atarudi na utampokea tena kwa mikono miwili.
Pole ndugu..
We hujui haya mamboakimpokea itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu.
Pole sana ila zingatia hayaMkuu sahihi. Nimejifunza. Muda mwingine ili upate somo kamili lazima uonje maumivu ya makosa yako
Na ni kweli siyajuiWe hujui haya mambo
Biblia inasemaHapana mkuu. Sikushiriki wizi. Wale wenzangu walikuwa ni team yangu kwenye utendaji. Kuna mzigo waliupiga kwenye kitengo, wakanishirikisha kuwa upigwe bei tugawane, nikagoma. Kilichotokea wakaomba nisiwareport. Nikaushe tu sababu taarifa ingefika juu lazima mimi ndio ningekuwa nimewachoma sababu nipo kinyume na mpango wao.
Kilichotokea walipiga deal hilo, sasa kwenye tathmini ya ofisi ilipofanyika ulionekana umefanyika upigaji, na material zilizopigwa zilikuwa kutoka team yetu. Hawakuwa na mjadala, kwakuwa ni team basi tayari kila mmoja ni mhusika. Kiufupi niliwajibishwa na kosa la wengine
Eeeeh hii mpya sasa yaani mke tu ndio nisumbue watu wote.Sasa oa mwanamke mwingine usiyejua nasaba yake akuharibie tena maisha. Hivi mnapataga wapi wanawake wajinga hivyo. Msitangulize hisia wakati wa kutafuta mke kama unavyotafuta hawara. Kupata mke ni mchakato unaoanzia kwenu kwanza upate baraka za wazazi, kisha ushirikiane nao pamoja viongozi wa dini yako kuchagua mwanamke anayeendana na wewe.
Mkuu niligraduate, yani toka muda huo mimi naishi kimachalena wanawake. Na kitu nilichogundua wanawake wa sasa ni afadhali ukutane naye ashajipata haya ya kumchukua akiwa hajajipata ukamuapgrade, akijipata akaanza kuona bila wewe anaweza kuishi poa tu anapigiwa misele na wanaume labda wana ela zaidi yako au labda ukifulia kama mimi wakati huo nlikuwa napitia msoto balaa hata msosi shida ila kumbe yeye ana zaidi ya milioni ndani tu kaificha.ungempokea ungekuwa zuzu la mwisho
😂😂 najitahidi sana sana nisiwe hivyo..
Ni kweli mkuuBiblia inasema
Ukimtamani mwanamke umekwisha zini naye.
Kitendo cha kufumbia macho ubadhilifu wa mali za kampuni/ shirika/ ofisi nawe ni unakuwa umeutenda tu.
Mkataba tu wa kazi unakuonya kuhusu wizi
Safi sanaMkuu niligraduate, yani toka muda huo mimi naishi kimachalena wanawake. Na kitu nilichogundua wanawake wa sasa ni afadhaki ukutane naye ashajipata haya ya kumchukua akiwa hajajipata ukamuapgrade, akijipata akaanza kuona bila wewe anaweza kuishi poa tu anapigiwa misele na wanaume labda wana ela zaidi yako au labda ukifulia kama mimi wakati huo nlikuwa napitia msoto balaa hata msosi shida ila kumbe yeye ana zaidi ya milioni ndani tu kaificha.
Ndio maana mnaoa madungayembe, kuchagua mwenza wa maisha unadhani ni rahisi enhee, we endekeza tu hisia, wajanja wanatafuta wake nyie wajinga mnaokota wake unaona kuna maisha hapo.Eeeeh hii mpya sasa yaani mke tu ndio nisumbue watu wote.
Asipokuelewa wewe basi hataelewa tena1: Mwanamke hapendwi
2: Mwanamke haonewi huruma
3: Mwanamke hawezeshwi
4: Mwanamke ni chombo cha starehe kikishindwa kukupa starehe una achana nacho unavuta kingine
jitahidi hivyo hivyo msiwaumize watoto wa mamkwenajitahidi sana sana nisiwe hivyo..
Hiyo yote imebebwa na maneno mawili tu kataa ndoa1: Mwanamke hapendwi
2: Mwanamke haonewi huruma
3: Mwanamke hawezeshwi
4: Mwanamke ni chombo cha starehe kikishindwa kukupa starehe una achana nacho unavuta kingine