Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Wanawame wa sasa ukipigika ndipo utawajua vzuri.
Story yako inafànana fulani na ya kwangu ila yako ilikuwa ngumu zaidi.
Yule alibibadilikia kiasi ni kama vile sikuwahi kumfahamu kwa miaka yote 8. Nilikonda na kupoteza focus kwa miaka miwili.
Nashukuru kupitia kile niligraduate hatukuwa na watoto kila mtu akapita njia yake nikaanza jitafuta tena.
After miaka mitatu nimeanza kujipata anataka rudi maishani mwangu, nilimtimulia mbali.
ungempokea ungekuwa zuzu la mwisho
 
Sasa oa mwanamke mwingine usiyejua nasaba yake akuharibie tena maisha. Hivi mnapataga wapi wanawake wajinga hivyo. Msitangulize hisia wakati wa kutafuta mke kama unavyotafuta hawara. Kupata mke ni mchakato unaoanzia kwenu kwanza upate baraka za wazazi, kisha ushirikiane nao pamoja viongozi wa dini yako kuchagua mwanamke anayeendana na wewe.
Mkuu sahihi. Nimejifunza. Muda mwingine ili upate somo kamili lazima uonje maumivu ya makosa yako
 
Mkuu sahihi. Nimejifunza. Muda mwingine ili upate somo kamili lazima uonje maumivu ya makosa yako
Pole sana ila zingatia haya
1. Usisomeshe mchumba
2. Asikuzidi akili
3. Asikuzidi kipato
4. Mzalishe watoto watatu harakaharaka kuneutralize moment au kumkeep busy na familia.
5. Nyumbani kwako mfumo dume utawale siku zote maana wanawake wanapaswa kutawaliwa na wanaune sio kutawala.

Cha mwisho uwe unakuja kwenye vikao vyetu wanaume au ukikosa muda basi tuma mwakilishi awe me au tuma hela ya ada ya chama ili usipitwe na mafunzo ya kila wiki.
 
Hapana mkuu. Sikushiriki wizi. Wale wenzangu walikuwa ni team yangu kwenye utendaji. Kuna mzigo waliupiga kwenye kitengo, wakanishirikisha kuwa upigwe bei tugawane, nikagoma. Kilichotokea wakaomba nisiwareport. Nikaushe tu sababu taarifa ingefika juu lazima mimi ndio ningekuwa nimewachoma sababu nipo kinyume na mpango wao.

Kilichotokea walipiga deal hilo, sasa kwenye tathmini ya ofisi ilipofanyika ulionekana umefanyika upigaji, na material zilizopigwa zilikuwa kutoka team yetu. Hawakuwa na mjadala, kwakuwa ni team basi tayari kila mmoja ni mhusika. Kiufupi niliwajibishwa na kosa la wengine
Biblia inasema
Ukimtamani mwanamke umekwisha zini naye.
Kitendo cha kufumbia macho ubadhilifu wa mali za kampuni/ shirika/ ofisi nawe ni unakuwa umeutenda tu.

Mkataba tu wa kazi unakuonya kuhusu wizi
 
Sasa oa mwanamke mwingine usiyejua nasaba yake akuharibie tena maisha. Hivi mnapataga wapi wanawake wajinga hivyo. Msitangulize hisia wakati wa kutafuta mke kama unavyotafuta hawara. Kupata mke ni mchakato unaoanzia kwenu kwanza upate baraka za wazazi, kisha ushirikiane nao pamoja viongozi wa dini yako kuchagua mwanamke anayeendana na wewe.
Eeeeh hii mpya sasa yaani mke tu ndio nisumbue watu wote.
 
ungempokea ungekuwa zuzu la mwisho
Mkuu niligraduate, yani toka muda huo mimi naishi kimachalena wanawake. Na kitu nilichogundua wanawake wa sasa ni afadhali ukutane naye ashajipata haya ya kumchukua akiwa hajajipata ukamuapgrade, akijipata akaanza kuona bila wewe anaweza kuishi poa tu anapigiwa misele na wanaume labda wana ela zaidi yako au labda ukifulia kama mimi wakati huo nlikuwa napitia msoto balaa hata msosi shida ila kumbe yeye ana zaidi ya milioni ndani tu kaificha.
 
Mkuu niligraduate, yani toka muda huo mimi naishi kimachalena wanawake. Na kitu nilichogundua wanawake wa sasa ni afadhaki ukutane naye ashajipata haya ya kumchukua akiwa hajajipata ukamuapgrade, akijipata akaanza kuona bila wewe anaweza kuishi poa tu anapigiwa misele na wanaume labda wana ela zaidi yako au labda ukifulia kama mimi wakati huo nlikuwa napitia msoto balaa hata msosi shida ila kumbe yeye ana zaidi ya milioni ndani tu kaificha.
Safi sana
 
Back
Top Bottom