Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

soldier MAN

Member
May 13, 2024
6
32
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.

Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.

Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
 
Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.

Lengo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.

Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .

Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .

MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
 
Nikiwa form three, kuna jamaa aliniomba nimbembelezee mdada fulani anaempenda,

Wakati twarudi shule nikafata nikambembeleza, nadhan kwa vurugu za watu, hakua ananiskia vizuri.

Kesho yake, rafiki yake ananifata ananambia kama mbona sijamwambia siku zote kama nampenda yule dada, hee nikashangaa ila nikaona gari limeniangukia.

Nimamwambia nilikua nahofia, basi akanambia mwenzio amekubali nae anakupenda.

Mapenzi yakanzia hapo, kimbembe ilikua jinsi ya kumjuza jamaa nagu alienituma ..

Itaendelea..
 
Mkuu wewe ni mtu mzuri!
Angekua mwingine angepasua ile kamba then angetokomea kusikojulikana🤸
Ilishawahi nitokea , kuna wadada wawili walikua barabarani mmoja ni mkali kinyama ndie nilie mpenda wa pili ni mmasai mmoja mwenye sura yake personal.

Leo langu niwafuate niombe no ya yule pisi ,ili kutomfanya yule mwingne asijiskie vibaya nikajifanya kuomba no zao wote, mbaya zaidi asiye kwenye lengo ndio akajitia kiherehere cha kunipa no ,yule pisi yeye kimya tu , nikaichukua kishingo upande ,,nikajua kwa sababu ni marafiki naweza pata ukaribu na huyo, ila lengo nisijempoteza yule pisi kupitia mwenzake.

Kufupisha tu ni kwamba yule dada wa kimasai aliniganda hatari zaidi ya mwaka , ili kutomfanya asijisikiie vibaya sikudhubutu kumwambia ukweli , nikawa nawasiliana nae kishingo upande ,alipo kuja kuharibu zaidi alinitambulisha kwa yule pisi kama mimi ni mtu wake, na ile pisi ikawa inaniita shem.

Hali ilizidi kuwa mbaya zaid pale nilipotambulishwa umasaini ikafika hatua mpka kaka wa binti walipo diriki kutamka watanipa n'gombe 100 .

Kilichonifanya nikaingia mitini kabisa ni pale binti alipo fikia hatua ya kutaka kunitunuku zawadi ya bikra yake na akaniambia hiyo kwao ni zawadi kubwa kabisa ya kimila .

MpKa Leo sikuwahi kukutana na pisi kali kama yule rafiki wabinti wa kimasai , nilikuja kupata fununu karudi kwao Rwanda baada ya kumaliza masomo yao pale KCMC .
 
"Yee..su nitie nguuuvu nimalize mwendo salaama" by Wiliam Yilima 😂
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.

Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.

Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom