Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

Cog

Member
Mar 18, 2018
89
189
Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda.

Nikamuuliza kama wapo kwenye mahusiano akaniambia alishatembea nae zaidi ya maramoja na wote ni majirani. Wanawake tuishi nao kwa akili kwakweli
 
KATAA NDOA.

_20240222_164656.JPG
 
Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda. Nikamuuliza kama wapo kwenye mahusiano akaniambia alishatembea nae zaidi ya maramoja na wote ni majirani. Wanawake tuishi nao kwa akili kwakweli
Hio inaitwa mupe nae msaidie aondoke kwa njaa
 
Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda. Nikamuuliza kama wapo kwenye mahusiano akaniambia alishatembea nae zaidi ya maramoja na wote ni majirani. Wanawake tuishi nao kwa akili kwakweli
Wakati mwingine huyo jamaa yako anaweza kuwa anachotwa akili ili achunwe zaidi. Unakumbuka wale matapeli wanaotembea wakijifanya ni washamba, wamevaa manguo machafu machafu wakisema wameokota dhahabu na hawajui waipeleke wapi?
 
Hivi bado hamjajua kua mwanamke anakusifia na kumponda mumewe akiwa na wewe, na akiwa kwa mchepuko unaokujua wewe anakuponda wewe anausifia huo mchepuko mpya.

Kama bado mapenzi yanakutesa, jitafakari upya.
Nilikuwa naye mmoja mumewe mtu wa masafa marefu,Jamaa akipiga simu, ananiambia tulia kwanza niongee na huyu Fala,hapo kaikalia.
Namshukuru Mungu niko salama,na staki tena Mke wa mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom