Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

mimba ya kuzaliwa kwako ingetolewa
alafu unasema utaexist
kivipi?
Je hiyo mimba iliyotolewa na mtoto amekufa
Ata exist kivipi?
Kulingana na how the universe operates when a baby is aborted the universe understands that aliyeitoa hayupo tayari muda huo kulea so the soul goes to where a woman who's ready to bear the child I can call that reincarnation
 
Hata rais ana will ya kuua ila haina maana awe anaua.

Kama una will ya kutoa mimba imekuwaje usiwe na will ya kuzuia hy mimba?

Yn kwenye hili suala bado sijaona point yoyote ya maana kutoka kwako kutetea ww kutoa hizo mimba.
Kuna hao watoa mimba, kuna wapenzi wa jinsia moja, kuna wanaobadili jinsia.

Hao wote hawana sababu za maana kufanya hivyo, ni vile dunia ya sasa imewapa uwanda mpana kufanya hayo ila yote kiuhalisia ni makosa.
Juzijuzi hapa kuna mwanamke kadhulumiliwa ushindi wake na kidume kilichobadili jinsia na kimeshiriki kwenye mashindano ya wanawake ati ni mwanamke.
 
Kulingana na how the universe operates when a baby is aborted the universe understands that aliyeitoa hayupo tayari muda huo kulea so the soul goes to where a woman who's ready to bear the child I can call that reincarnation
Did God allow abortion?
 
Hatia gani? Uhaini?
Unajua mambo mengine yanapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa sana, hebu chukulia mfano kama mzee wako angekuwa muumini wa kipande cha soap kama burudani yake akakumwaga chooni ukaenda na maji au mama yako akakuchomoa kama hivyo leo hii ungekuwepo hapa unapakia na kugonga like hapa JF?
 
Father kipindi nasoma Kuna mdada alichomoa JUMLA ya mimba5 hivyo sishangai ajabu Leo hii ana watoto3 ni baada ya useless men kumuoa
Hivi ukipukutisha zote hizo tano hata ule ulembo na uzuri wa asili utaendelea kuwepo kweli? Au ndo hawa tunakutana nao mitaani wamechoka kama wanawatoto kumbe hata wa kusingiziwa hawana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom