Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,587
- 133,207
Unwanted pregnancy huwa inachange kutokana ma situation. Mnaweza kukubaliana mzae, baada ya miezi miwili ukafukuzwa kazi. Tusidanganyane, ukimpa binti yangu mimba, unaitunza kwako/kwenu la sivyo nagharamia kuitoa. Mtoto ni liability ujue
Em nipeni sababu ya msingi ya kutoa mimba ili niwaelewe, mambo ya kufukuzwa kazi ndio utoe mimba hy sababu hainiingii akilini, kwann usiseme uache kuishi mana umefukuzwa kazi.Yu are right
Sometimes there no any other option rather than abortion
It's not a crime if the decision is made right....
Mkinambia umetoa mimba kwasababu madaktari wameona n vyema ifanyike hvy ili kuokoa uhai wa mwanamke hapo ntawaelewa.