Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Family planning n Kabla Sio Baada.

Huwezi kutoa mimba afu useme unafanya family planning, Kwan Hakuna njia zingine za kuzuia mimba

🗑️
Atoe ya secretarybird aone kitakachomkuta. Yaani atapigwa vibao na kulazimishwa kummeza mtoto aliyemtoa.

Kama alikuwa anajua kujamiiana kunasababisha mimba si angeomba tu blowjob ifanyike?

Nyambafu kweli yaani!
 
Abortion is not cruel that's why we both have free will in making choices
Yu Gerrit....
Hata rais ana will ya kuua ila haina maana awe anaua.

Kama una will ya kutoa mimba imekuwaje usiwe na will ya kuzuia hy mimba?

Yn kwenye hili suala bado sijaona point yoyote ya maana kutoka kwako kutetea ww kutoa hizo mimba.
 
Sa unataka watu wazae na hawataki ????
This generation is full of funny men who criticizes women for aborting?! Hivi sio nyie ambao mnawapondeaga single mothers humu jamii forum...
 
Anakutishia au anakutaarifu? ? ?

Mnaona akili za watu wa karne ya 21? ? ? Na bado hamuani kuwa ni kizazi cha mwisho.

Abortion is modern day child sacrifice. Demonic.

And please these demonic women unapologetically flaunting killing their babies do not represent women. They represent demons. Demons in human form.

Some are not even women, unakuta mtu na makende yake mawili anajipostia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom