Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

Sa unataka watu wazae na hawataki ????
This generation is full of funny men who criticizes women for aborting?! Hivi sio nyie ambao mnawapondeaga single mothers humu jamii forum...
Binafsi sijawahi kumponda single mother Hata siku moja humu.

Point yangu iko pale pale mana hujaijibu, kama una uwezo wa kutoa mimba kwann usitumie njia za kuzuia mimba?

Kuna kalenda, kondomu, vijiti nk kama unataka utamu c utumie kalenda ili usiweze kupata mimba na utamu unaoutaka uko pale pale.
 
Anakutishia au anakutaarifu? ? ?

Mnaona akili za watu wa karne ya 21? ? ? Na bado hamuani kuwa no kizazi cha mwisho.

Abortion is modern day child sacrifice. Demonic.

And please these demonic women unapologetically flaunting killing their babies do not represent women. They represent demons. Demons in human form.

Some are not even women, unakuta mtu na makende yake mawili anajipostia...
🤝
 
Binafsi sijawahi kumponda single mother Hata siku moja humu.

Point yangu iko pale pale mana hujaijibu, kama una uwezo wa kutoa mimba kwann usitumie njia za kuzuia mimba?

Kuna kalenda, kondomu, vijiti nk kama unataka utamu c utumie kalenda ili usiweze kupata mimba na utamu unaoutaka uko pale pale.
Tumekuskia basi tutatumia vijiti 🎊
Those were just my suggestions I don't support abortion and sio against it I'm neutral depending na Hali yenyewe ipoje
 
Abortion is not cruel that's why we both have free will in making choices
Yu Gerrit....
Ni wapuuzi tu wasiokuelewa! Mimba mwisho wa yote ni mateso kwa mama. Lazima mama akubaliane na mimba, si baba. Kama mwanamama huna uhakika na sustainability ya kiumbe, abortion is the best option.
 
Tumekuskia basi tutatumia vijiti 🎊
Those were just my suggestions I don't support abortion and sio against it I'm neutral depending na Hali yenyewe ipoje
Ww ndiye mwenye mamlaka juu ya mwili wako mana n mali yako mana furaha au kilio Kitakuwa chako mwnyw 😎
 
Ni wapuuzi tu wasiokuelewa! Mimba mwisho wa yote ni mateso kwa mama. Lazima mama akubaliane na mimba, si baba. Kama mwanamama huna uhakika na sustainability ya kiumbe, abortion is the best option.
Hao unaowaita wapumbavu ukiwaelewa wanachokiandika hutowaita wapumbavu Tena.
 
kwann usitumie njia za kuzuia mimba?

Kuna kalenda, kondomu, vijiti nk
Jamani njia pekee ya uhakika ya kuzuia mimba ni abstinence, hata yenyewe sio asilimia 100% muulizeni Maria.

Mostly hamna mtu atakuja kuwahadithia kuwa alipata mimba despite kutumia hizo njia, nyie mtaona tumbo / mtoto tu, story mtajaza wenyewe. Waulizeni manesi / madaktari , au ukibahatika kupitia vijiwe vya wamama mtandaoni wanaoongelea haya mambo..
 
Usicheze na mtoto wewe, unless hujakuza mtoto
Maana yake, ww pia usingezaliwa.

Huwezi kushika mimba afu useme n kwa bahati mbaya wakat mlipokuwa mnalombana mlikuwa Mnajua n nn mnafanya hapo.
 
Jamani pekee ya uhakika ya kuzuia mimba ni abstinence, hata yenyewe sio asilimia 100% muulizeni Maria.

Mostly hamna mtu atakuja kuwahadithia kuwa alipata mimba despite kutumia hizo njia, nyie mtaona tumbo / mtoto tu, story mtajaza wenyewe. Waulizeni manesi / madaktari , au ukibahatika kupitia vijiwe vya wamama mtandaoni wanaoongelea haya mambo..
Point yako n ipi? Cjaipata point yako
 
Maana yake, ww pia usingezaliwa.

Huwezi kushika mimba afu useme n kwa bahati mbaya wakat mlipokuwa mnalombana mlikuwa Mnajua n nn mnafanya hapo.
Unwanted pregnancy huwa inachange kutokana ma situation. Mnaweza kukubaliana mzae, baada ya miezi miwili ukafukuzwa kazi. Tusidanganyane, ukimpa binti yangu mimba, unaitunza kwako/kwenu la sivyo nagharamia kuitoa. Mtoto ni liability ujue
 
Kutoa mimba ni njia Moja wapo ya family planning
'Family planning' ni kuzuia mimba.

Vacectomy kwa wanaume na 'njiti'/orally contraceptive pills kwa wanawake.

Kuchomoa mimba mama ni mauaji na ni kosa la kisheria Tz.
 
Point yako n ipi? Cjaipata point yako
Point ni: Hizo njia sio guarantee ya kutopata mimba.

Ukiona mtu na mimba yake / mtoto wake sio uanze kuuliza kwanini hakutumia uzazi wa mpango.

Hutaki mtoto baki na mwili wako usigusane na mtu.

Sema hiki kizazi kiovu, kitabisha na mwishowe ni ku justify kuua ili tu kisiwajibike.
 
Ni wapuuzi tu wasiokuelewa! Mimba mwisho wa yote ni mateso kwa mama. Lazima mama akubaliane na mimba, si baba. Kama mwanamama huna uhakika na sustainability ya kiumbe, abortion is the best option.
Yu are right
Sometimes there no any other option rather than abortion
It's not a crime if the decision is made right....
 
Back
Top Bottom