Hivi unajua kama tanganyika ilitawaliwa na malkia Elizabeth? [emoji15] kwahio hata tanganyika mnaogopa wazungu wasirudi tena au??[emoji15] Soma historia mkuu acha kasumba za kiccm hazina maana kwenye maisha yetu.Hii habari ni ya lini? Maana sijaona mantiki Wala maudhui.. Anadai kwa nani huo Uhuru? Na Zanzibar anayoiita Tajiri nilikuwa ni Mali ya sultan so atueleze katumwa na sultan ? Zanzibar mwaka 1964 isingeachwa iendelezwe na warafi Wa madaraka wakiuana kila siku na Dunia ikae kimya... Huyo sultan ndie mwenye haki ya kudai Uhuru kutoka Tanganyika na sio lizembe lolote vivu la lenye chuki na pia aelewe kuwa Sultan hatoweza tena kurejea uarabu unamnyima sifa
Unakusudia wale wanganganizi wa madaraka yaani ccm??[emoji15]Power mongers! Simply walafi wa madaraka wenye madai kama haya!
Mkuu Duduwasha, utambulisho rasmi wa kimataifa ni passport, nothing more, nothing less, mtu akiisha miliki passport ya Tanzania, ni Mtanzania, it doesn't matter anajitambulishaje, utambulisho wowote nje ya passport ni kujifurahisha, hivyo waacheni Wanzanzibari wajifurahishe kwa uzanzibari wao wa ndani ya mioyo yao, ila uraia wao ni watanzania wenzetu, nchi ni moja tuu, JMT, na uraia pía ni mmoja tuu, raia wa JMT, ila kwa Zanzibar, wana utambulisho rasmi wa ndani kwa kitambulisho cha ukaazi ambacho ni ruksa kujitambulisha popote kwenye social forums ila officially, they are Tanzanians.Unajitambulisha huku passport yako imeandikwa Tanzania ?Ni uwehu.. Mbona watu Wa kilwa walikuwa na Dora yao kina Dau hawafanyi uwehu huo! Tuna kina Rage hawajitambulishi kama wasomali wakiwa nje ya nchi... Watu Wa nje hawatambui kwa maneno ya mdomo wanaangalia paper huo ujinga mtadanganywa nyie tu sababu mu wajinga
Hizo ndio propaganda za kanisa .Mbona wa Zanzibar wako Kenya, Uganda Somalia,oman.uae Yemen.comoro msumbiji Kwa maalfu . Wajaluo ,wahaya.wamasai.na wengineo wapo Kenya Uganda .Rwanda nk Na Kwa nini Kenya haiwaambii wanataka kujitenga Na Tanganyika .Ni Kwa sababu hamjaivamia Na kuweka kiongozi mnayemtaka nyinyi . Mara unguja itajitenga Na Pemba ,maneno haya mumeyaanzisha nyinyi baada ya uvamizi wenu kuufanya ni halalihuu muungano una miaka 52 unauhoji leo? athari na gharama za kuuvunja huwezi kuzitathmini, huku tanganyika sijui kumejaa wazanzibari millioni ngapi mfano Tanga na Dar tu wamejaa wazenji kibao wakuja na waliozaliwa sasa unataka muungano ufe wazenji wote warudishwe zenji una nyumba na kazi za kuwapa? unazo mashua na nyavu za kutosha weye? unayo mapembe ya kutosha kuwalisha? unazo shule za kuwasomesha? na halafu unajua upinzani na ubaguzi uliopo kati ya waunguja na wapemba? ukivunja muungano na bara utavunja pia muungano wa pemba na unguja halafu mtaanza kubaguana waunguja wenyewe kwa wenyewe na unguja mtajigawa na kila ethnic group ya unguja itadai uhuru wake na kila ethnic group ya pemba nayo itadai uhuru wake na mtazalisha labda nchi nne au zaidi kwa zenji moja yenye kaeneo kiduchu! ukivunja muungano na bara hata hiyo Zanzibar itapotea mtakuwa na nchi kibao zinaitwa Unguja, Pemba , Tumbatu , Mwanakwerekwe, Kiembe Samaki, Fuoni na BuBuBu! nadhani we have to think big na labda pia tuwaze maendeleo na usalama wa Tanzania na tuachane na habari ya kuhoji muungano!
Unajitambulisha huku passport yako imeandikwa Tanzania ?Ni uwehu.. Mbona watu Wa kilwa walikuwa na Dora yao kina Dau hawafanyi uwehu huo! Tuna kina Rage hawajitambulishi kama wasomali wakiwa nje ya nchi... Watu Wa nje hawatambui kwa maneno ya mdomo wanaangalia paper huo ujinga mtadanganywa nyie tu sababu mu wajinga
Mkuu Duduwasha, utambulisho rasmi wa kimataifa ni passport, nothing more, nothing less, mtu akiisha miliki passport ya Tanzania, ni Mtanzania, it doesn't matter anajitambulishaje, utambulisho wowote nje ya passport ni kujifurahisha, hivyo waacheni Wanzanzibari wajifurahishe kwa uzanzibari wao wa ndani ya mioyo yao, ila uraia wao ni watanzania wenzetu, nchi ni moja tuu, JMT, na uraia pía ni mmoja tuu, raia wa JMT, ila kwa Zanzibar, wana utambulisho rasmi wa ndani kwa kitambulisho cha ukaazi ambacho ni ruksa kujitambulisha popote kwenye social forums ila officially, they are Tanzanians.
Paskali
HAYO NI MANENO YA KARDINALI PENGO NA AKINA LUKUVI NA KANISA LA KIKATOLIKI
Never argue with fools as people might not notice the difference lest you yourself are assumed as the worst idiot! How have the Cardinal or the Catholic Church come into this argument! Hukuenda shule kwa sababu ya kuogopa umande that is why you are trying to incite Tanzanians to fight against each other since you may find families consist of different faith, they co-exist(husband and wife of different faith).
Mkuu Interface; ukiweza kunikumbusha wapi nilizingua, nitajichunguza.
Paskali
huu muungano una miaka 52 unauhoji leo? athari na gharama za kuuvunja huwezi kuzitathmini, huku tanganyika sijui kumejaa wazanzibari millioni ngapi mfano Tanga na Dar tu wamejaa wazenji kibao wakuja na waliozaliwa sasa unataka muungano ufe wazenji wote warudishwe zenji una nyumba na kazi za kuwapa? unazo mashua na nyavu za kutosha weye? unayo mapembe ya kutosha kuwalisha weye? unazo shule za kuwasomesha? na halafu unajua upinzani na ubaguzi uliopo kati ya waunguja na wapemba? kwakuwa mna dhana na dhambi ya ubaguzi na mmeishiba hadi kwenye damu mkivunja muungano na bara pia mtavunja pia muungano wa pemba na unguja halafu mtaanza kubaguana waunguja wenyewe kwa wenyewe na unguja mtajigawa na kila ethnic group ya unguja itadai uhuru wake na kila ethnic group ya pemba nayo itadai uhuru wake na mtazalisha labda nchi nne au zaidi kwa zenji moja yenye kaeneo kiduchu! narudia kwakuwa dhana na dhambi ya ubaguzi imewajaa mkivunja muungano na bara hata hiyo Zanzibar itapotea mtakuwa na nchi kibao zinaitwa Unguja, Pemba , Tumbatu , Mwanakwerekwe, Kiembe Samaki, Fuoni na BuBuBu! nadhani we have to think big na labda pia tuwaze maendeleo na usalama wa Tanzania na tuachane na habari ya kuhoji muungano! Tanganyika ina uwezo mkubwa wa zoezi la Deportation waulize warundi na wanyarwanda jinsi tunavyowarudisha kwao hatuangalii sura , umri , jinsia wala umekuja lini au ulizaliwa wapi na lini bongo , zoezi likianza ni mwendokasi tu lawama baadae ukiwa Bububu njiani kuelekea kwenu Kiwengwa!
. Mimi ni Mtanganyika lakini kwa hayo uliyosema u muongo wa kutupwa.
Katika zaidi ya miaka 2000 ya historia ya Zanzibar ni lini waliuana na kuchinjana? Zaidi ya mwaka 1964 kwa mapinduzi yaliyopangwa huko kwetu?
Hizo ni propaganda za kanisa ,hebu jaribuni kuweka uchaguzi utaosimamiwa Na UN muone huo upemba Na uunguja , mnajua mtaumbuka vibaya Sana .Unachosahau ni kuwa zanzibar ya sasa na miaka hiyo 2000 ni vitu viwili tofauti. Zanzibar ya leo imegawanyika hata kwa suala la muungano lenyewe. Kuna tension ya u CUF na u CCM, pia uPemba. A uUnguja. Hii migawanyiko yote imepotezwa au inavunjwa nguvu na uwepo wa serikali ya JMT. Ondoa JMT then niambie nani atamsikiliza na kumtii nani huko Zanzibar. Bila Muungano hakuna kitu kinaitwa Zanzibar!!!! Kutakuwa na Pemba na Unguja, kisha CUF na CCM, kisha wabara na wavisiwani. Simple. Mambo mengine hayataki ujuaji.
Never argue with fools as people might not notice the difference lest you yourself are assumed as the worst idiot! How have the Cardinal or the Catholic Church come into this argument! Hukuenda shule kwa sababu ya kuogopa umande that is why you are trying to incite Tanzanians to fight against each other since you may find families consist of different faith, they co-exist(husband and wife of different faith).
Mimi sijazungumzia uasili wa mtu wala mtu anapenda kujitambulisha vipi, mimi nimezungumzia utambulisho rasmi ambao hakuna raia yoyote wa kitu kinachoitwa Zanzibar kwa sababu Zanzibar sio nchi, hivyo haijalishi Wazanzibari wanajitambulisha vipi kama Wazanzibari, huko ni kujifurahisha tuu na hakuna yoyote anayezuiliwa kujitambulisha vyovyote, lakini utambulisho rasmi ni Watanzania na sio Wazanzibari!.Unaonesha una almost nil exposure au ni ufinyu tu wa kufikiri au ni njaa tu.
Kubeba passport ya nchi fulani hakukuondolei asili yako na wala hakukufanyi kutoweza kujitambulisha kwa Uzanzibari wako au kwa wewe Usukuma wako.
Isitoshe, kuna Watanzania wengi leo hii wapo na passports za nje na wanaishi nje lakini haiwazuwii wao kujitambulisha kama Watanzania. Ni jambo la kawaida kabisa.
Sijakutana na Mzanzibari asiyejitambulisha kama Mzanzibari huko nje. Awe anaeupenda au asiyeupenda muungano.
Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Unachosahau ni kuwa zanzibar ya sasa na miaka hiyo 2000 ni vitu viwili tofauti. Zanzibar ya leo imegawanyika hata kwa suala la muungano lenyewe. Kuna tension ya u CUF na u CCM, pia uPemba. A uUnguja. Hii migawanyiko yote imepotezwa au inavunjwa nguvu na uwepo wa serikali ya JMT. Ondoa JMT then niambie nani atamsikiliza na kumtii nani huko Zanzibar. Bila Muungano hakuna kitu kinaitwa Zanzibar!!!! Kutakuwa na Pemba na Unguja, kisha CUF na CCM, kisha wabara na wavisiwani. Simple. Mambo mengine hayataki ujuaji.