FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,801
Mkuu kwanza nikufahamishe kuwa uingereza alipewa Tanganyika kuishikilia hadi tutakapokuwa tayari kujitawala... So aliondoka kama tulivyotaka na wao wanatambua hilo haswa. So hakuna Mtanganyika mwenye wasiwasi na muingereza... Jaribu kuwa unatofautisha mambo kwenye mijadara maana inaleta wingi usiohitajika... Ila Zenji inajulikana ni Mali ya mtu aitwae Sultan na hata utajili unaozungumziwa na Wa huyo mtu ukiachia uliuchumaje japo ni wazi aliuchumia bara.. So tunapozungumzia Zanzibar tujikite huko am sure shule ulijifunza namna ya kutofautisha vitu visivyo endana.. Nikisema kijiko,kisu,una na kandambili am sure utaelewa nini kipo tofauti
= mijadala
= utajiri
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?