Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

hizo ndizo fikra mnazonyweshwa kanisani ???
Kanisa gani? Makanisa yanafundisha Global warming? Wanasayansi ndiyo wanasema hivyo mkuu. Miaka 100 ijayo kama heating trending iliyopo ikiendelea visiwa kama Zanzibar vitakuwa submerged. Mtakimbilia wapi? Bakini katika Muungano mpaka mjue hii global warming inakoelekea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulisoma kitabu gani muungano wa nchi ni kama ndoa , au maneno hayo kasema yesu ???
ndoa hiyo ilifungwa na wakatoliki??
Ndoa hiyo ni ya mashoga ???
Mbona yale maneno yako hayasemi kuwa huu ni mfano wa ndoa ??
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si halali - Profesa Abdul Sharif + Sauti
Sio kila kitu ni mpaka usome kwenye kitabu, miungano iko ya aina kuu mbili, 1. Union 2.Federation. Miungano ya union ni kama ndoa, nchi mbili zinaungana na kuwa nchi moja. Ndani ya miungano kuna majukumu na wajibu. Articles of the Union zimeweka majukumu na wajibu, na miongoni mwa majukumu na wajibu mkuu wa kwanza ni kugharimia uendeshaji wa muungano, articles zinasema washirika watachangia gharama, lakini kwenye muungano wetu anayebeba gharama na majukumu yote ni mshirika mmoja tuu ambaye ndiye kama mume akibeba majukumu ya kugharimia nyumba na mwingine kama mke kazi yake kupokea tuu na kutumia, kula bure, kulala bure na ghubu juu! .

https://www.jamiiforums.com/threads...muungano-ama-pigeni-kura-ya-maoni-muamue-moja.

Paskali
 
Muungano hauf ng'o wanaotaka muungano ufe watakufa wao na tutawazka lakn Muungano hauf
 
Sio kila kitu ni mpaka usome kwenye kitabu, miungano iko ya aina kuu mbili, 1. Union 2.Federation. Miungano ya union ni kama ndoa, nchi mbili zinaungana na kuwa nchi moja. Ndani ya miungano kuna majukumu na wajibu. Articles of the Union zimeweka majukumu na wajibu, na miongoni mwa majukumu na wajibu mkuu wa kwanza ni kugharimia uendeshaji wa muungano, articles zinasema washirika watachangia gharama, lakini kwenye muungano wetu anayebeba gharama na majukumu yote ni mshirika mmoja tuu ambaye ndiye kama mume akibeba majukumu ya kugharimia nyumba na mwingine kama mke kazi yake kupokea tuu na kutumia, kula bure, kulala bure na ghubu juu! .

https://www.jamiiforums.com/threads...muungano-ama-pigeni-kura-ya-maoni-muamue-moja.

Paskali
1481546455437.jpg
huu muungano unasema kama ndoa, ndoa lazima isainiwe muowaji na mu olewaji, na lazima wawepo mashahidi wawili kila upande.

Sasa katika hii vyaraka, ya kubadilisha mfumo wa muungano kutoka jamuhuri ya Tanganyika na zanzibar kwenda Jamhuri ya muungano wa tanzinia, ipo wapi sahihi ya mu olewaji. Kwa maana nyie hujifanya kidume.
 
Sio kila kitu ni mpaka usome kwenye kitabu, miungano iko ya aina kuu mbili, 1. Union 2.Federation. Miungano ya union ni kama ndoa, nchi mbili zinaungana na kuwa nchi moja. Ndani ya miungano kuna majukumu na wajibu. Articles of the Union zimeweka majukumu na wajibu, na miongoni mwa majukumu na wajibu mkuu wa kwanza ni kugharimia uendeshaji wa muungano, articles zinasema washirika watachangia gharama, lakini kwenye muungano wetu anayebeba gharama na majukumu yote ni mshirika mmoja tuu ambaye ndiye kama mume akibeba majukumu ya kugharimia nyumba na mwingine kama mke kazi yake kupokea tuu na kutumia, kula bure, kulala bure na ghubu juu! .

https://www.jamiiforums.com/threads...muungano-ama-pigeni-kura-ya-maoni-muamue-moja.

Paskali
Paskali
Ukiiondoa Tanzania kuna nchi nyingine duniani zilizoungana zikadumu?
Case study; Senegambia EgyptLibya,Yugoslavia,Checkslovakia

Hata huu utakufa tuu
 
Kanisa gani? Makanisa yanafundisha Global warming? Wanasayansi ndiyo wanasema hivyo mkuu. Miaka 100 ijayo kama heating trending iliyopo ikiendelea visiwa kama Zanzibar vitakuwa submerged. Mtakimbilia wapi? Bakini katika Muungano mpaka mjue hii global warming inakoelekea
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Kawasaidie kule mafia , maana hata maji ya kunywa hawana. Wamesaidiwa na Islamic relief kuchimba visima , nyinyi mumeshughulika na kuwakamata waislamu wa Zanzibari na kuwatesa huku mkiwabambikizia kesi za ugaidi , kwa kudai haki zao
Sio kila kitu ni mpaka usome kwenye kitabu, miungano iko ya aina kuu mbili, 1. Union 2.Federation. Miungano ya union ni kama ndoa, nchi mbili zinaungana na kuwa nchi moja. Ndani ya miungano kuna majukumu na wajibu. Articles of the Union zimeweka majukumu na wajibu, na miongoni mwa majukumu na wajibu mkuu wa kwanza ni kugharimia uendeshaji wa muungano, articles zinasema washirika watachangia gharama, lakini kwenye muungano wetu anayebeba gharama na majukumu yote ni mshirika mmoja tuu ambaye ndiye kama mume akibeba majukumu ya kugharimia nyumba na mwingine kama mke kazi yake kupokea tuu na kutumia, kula bure, kulala bure na ghubu juu! .

https://www.jamiiforums.com/threads...muungano-ama-pigeni-kura-ya-maoni-muamue-moja.

Paskali

Kwa jina la Tanzania, Tanganyika imeendelea kujizolea kila kilicho cha Zanzibar kukipeleka kwenye Muungano kwa kisingizio cha kuuimarisha; na Zanzibar inazidi kufa kwa kuwa inaingiza kila chake kwenye tumbo la Mfalme Jeta lisiloshiba! Na baya zaidi ni kuwa Tanganyika inaambiwa haipo, basi Zanzibar imekosa mshirika wa kuongelea naye matatizo ya Muungano, maana anayeiwakilisha Tanganyika ni huo huo Muungano!

JISOMEE ZAIDI HAPA *Siasa za Muungano na hatima ya uchumi wa Zanzibar
 
View attachment 445355 huu muungano unasema kama ndoa, ndoa lazima isainiwe muowaji na mu olewaji, na lazima wawepo mashahidi wawili kila upande.

Sasa katika hii vyaraka, ya kubadilisha mfumo wa muungano kutoka jamuhuri ya Tanganyika na zanzibar kwenda Jamhuri ya muungano wa tanzinia, ipo wapi sahihi ya mu olewaji. Kwa maana nyie hujifanya kidume.
Mkuu Ghibuu, Tanzania tuna ndoa za aina tatu, za kimila, za kiserikali na za kidini. Ili ndoa iwe halali, lazima ifungwe kwa ridhaa ya wanandoa.

Ila kwenye ndoa za kimila, mila zetu za Kiafrika zinaruhusu ridhaa ya mwana ndoa mmoja tuu, ambapo ni mume na mke hutakiwa kuolewa kwa lazima atake asitake.

Mfano Kanda ya Ziwa kabila la Wasukuma ridhaa ya ndoa ni mzazi, kwenye ile ngoma yetu maarufu, ya Chagulaga, kinachofanyika ni ubakaji.

Mwanamke akibakwa, kisha akatulia kwenye ndoa na kutimiza wajibu wake wa ndoa, ikiwemo consumation bila kukataa, atahesabika ameridhia na ndoa hiyo inakuwa ni ndoa halali by performance.

Hivyo ndivyo ulivyo huu Muungano wetu. Ulisainiwa na upande mmoja tuu, na ukaridhiwa (ratification) na upande mmoja tuu, wa Tanzania Bara, lakini muungano huo umehalalishwa kwa performance.

Wengine wengi ni wageni humu ila hili tuliisha lizungumza sana humu
Kwa wanaopenda kuujua ukweli na sii wavivu wa kusoma, karibu kwenye rejea hizi
Paskali
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-zanzibar-haikuridhia-muungano-ina-maana-gani.

https://www.jamiiforums.com/threads...gano-kilichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano.

la la hati halisi za Muungano nimelizungumza
Hapa-Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!

Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu?!.

Na Hapa-Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhiaMuungano? Ina Maana Gani?!.

Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Kuna UwezekanoTanzania Sii Nchi Halali Kisheria?!.
 
Mkuu kwanza nikufahamishe kuwa uingereza alipewa Tanganyika kuishikilia hadi tutakapokuwa tayari kujitawala... So aliondoka kama tulivyotaka na wao wanatambua hilo haswa. So hakuna Mtanganyika mwenye wasiwasi na muingereza... Jaribu kuwa unatofautisha mambo kwenye mijadara maana inaleta wingi usiohitajika... Ila Zenji inajulikana ni Mali ya mtu aitwae Sultan na hata utajili unaozungumziwa na Wa huyo mtu ukiachia uliuchumaje japo ni wazi aliuchumia bara.. So tunapozungumzia Zanzibar tujikite huko am sure shule ulijifunza namna ya kutofautisha vitu visivyo endana.. Nikisema kijiko,kisu,una na kandambili am sure utaelewa nini kipo tofauti
Jitengeni basi, mnatuchafulia nchi kwa kuendekeza ushoga wazanzibar
 
Mkuu Ghibuu, Tanzania tuna ndoa za aina tatu, za kimila, za kiserikali na za kidini. Ili ndoa iwe halali, lazima ifungwe kwa ridhaa ya wanandoa.

Ila kwenye ndoa za kimila, mila zetu za Kiafrika zinaruhusu ridhaa ya mwana ndoa mmoja tuu, ambapo ni mume na mke hutakiwa kuolewa kwa lazima atake asitake.

Mfano Kanda ya Ziwa kabila la Wasukuma ridhaa ya ndoa ni mzazi, kwenye ile ngoma yetu maarufu, ya Chagulaga, kinachofanyika ni ubakaji.

Mwanamke akibakwa, kisha akatulia kwenye ndoa na kutimiza wajibu wake wa ndoa, ikiwemo consumation bila kukataa, atahesabika ameridhia na ndoa hiyo inakuwa ni ndoa halali by performance.

Hivyo ndivyo ulivyo huu Muungano wetu. Ulisainiwa na upande mmoja tuu, na ukaridhiwa (ratification) na upande mmoja tuu, wa Tanzania Bara, lakini muungano huo umehalalishwa kwa performance.

Wengine wengi ni wageni humu ila hili tuliisha lizungumza sana humu
Kwa wanaopenda kuujua ukweli na sii wavivu wa kusoma, karibu kwenye rejea hizi
Paskali
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-zanzibar-haikuridhia-muungano-ina-maana-gani.

https://www.jamiiforums.com/threads...gano-kilichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano.

la la hati halisi za Muungano nimelizungumza
Hapa-Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!

Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu?!.

Na Hapa-Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhiaMuungano? Ina Maana Gani?!.

Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Kuna UwezekanoTanzania Sii Nchi Halali Kisheria?!.

Kwa maneno yako Zanzibar ni mke aliyebakwa kisukuma na dume Tanganyika ???
 
Paskali
Ukiiondoa Tanzania kuna nchi nyingine duniani zilizoungana zikadumu?
Case study; Senegambia EgyptLibya,Yugoslavia,Checkslovakia
Hata huu utakufa tuu
Muungano wetu ni wa asili, hivyo visiwa vilimegeka kutoka huku bara miaka milioni nyingi kabla hivyo ni malí yetu.

Mikataba yote huwa inakipengele cha kuvunjika kwa Mkataba kwa sababu zozote zile ikiwemo force majeure lakini mkataba wa muungano hauna.

Hivyo hakuna utaratibu wowote wa jinsi ya kuuvunja muungano, hivyo ni muungano wa milele.

Paskali
 
Kwa maneno yako Zanzibar ni mke aliyebakwa kisukuma na dume Tanganyika ???
Kwenye muungano, washirika wote wana haki sawa, hakuna mume wala mke, hii sio ndoa ya kijinsia bali ni ndoa ya ushirikiano.

Paskali
 
Muungano wetu ni wa asili, hivyo visiwa vilimegeka kutoka huku bara miaka milioni nyingi kabla hivyo ni malí yetu.

Mikataba yote huwa inakipengele cha kuvunjika kwa Mkataba kwa sababu zozote zile ikiwemo force majeure lakini mkataba wa muungano hauna.

Hivyo hakuna utaratibu wowote wa jinsi ya kuuvunja muungano, hivyo ni muungano wa milele.

Paskali

Huo si muungano ni uvamizi na ndio Waziri Mkuu wake Shamte akawekwa jela na Nyerere Tanganyika kabla ya April 26 ,1964 , bila kufikishwa mahakamani wala kusomewa mashitaka yoyote. Alikaa ndani kwa miaka 10 pamoja na mawaziri wengine wa serikali yake.

Leo ni kiasi mpate jeuri ya kutuona ni mashoga, wanawake tuliobakwa kisukuma ,magaidi mabuzi na uchafu wote.

Lakini hakuna lisilo na mwisho, hata Chris alimuangusha tembo ALUTA CONTINUA
 
Hizo zote ni porojo za hapa na pale ukweli unabaki kuwa Zanzibar ni nchi na hilo la kuwa na passport moja ni maelewano ya muungano tu.

Wazanzibari leo hii wana vitambulisho vyao rasmi vya uraia wao, Uzanzibari. Wewe si Mtanzania? Jaribu kwenda Zanzibar uwaambie wakupe kitambulisho uone watakupa kipi. Usishangae wakikwambia hapa hatutoi vitambulisho vya machogo.

Na hivi karibuni washaamua kuwa mafuta na gas ya Zanzibar ni mali ya Wazanzibari pekee, si hasha soon, pia wakaamua kuwa na hati zao za kusafiria ziwe za Kizanzibari.
Kwani wakijitoa hao wazanzibar, sisi wa bara tutapungukiwa na nn? UMEME wanatumia wetu, gesi tunayo, madini bado yapo, bombardier zipo,Bandari tunazo, barabara ya chuma tunayo, Nguruwe zipo nyingi, mlima Kilimanjaro upo, majiji kwa ajiri ya kula bata tunayo, na makao makuu ya nchi ni Dodoma, sato tunao, sangara tunao, migebuka kibao, nk,
Sure ndio huwa nawaambia sana... Kuna Mzungu aloshamtoa nishai mzenji kwa style hiyo...
 
Nimepokea ujumbe ufuatayo kutoka kwa Bwana Salim Said Rashid, Katibu wa Kwanza wa Baraza la Mapiduzi, Januari 1964 Zanzibar:

MWITO KWA WAZANZIBARI

Kwa muda mrefu mpaka hivi sasa hali halisi ya Zanzibar kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni hairidhishi. Wazanzibari walilazimika kustahmili kutokana na matumizi ya jeshi na polisi kwa sababu za kisiasa wameogopa kuyatetea maslahi ya nchi yao tajiri yenye historia ya takriban miaka elfu mbili kama ilivoyo andikwa na mwana historia wa Kigreeki baada ya kufanya ziara ya Zanzibar wakati huwo. Hali hii ambayo ilianza tarehe 26 April 1964 ulivyo asisiwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na Mwalimu Nyerere na kuifanya Zanzibar isite kua taifa huru Mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Ikawa kikatiba haina mamlaka ya mwisho ya kufanya maamuzi ya mambo yake ya ndani na nje kuliko ilivyokua wakati ikitawaliwa na mkoloni wa Kingereza. Baada ya shinikizo kutoka mashirika ya kimataifa na khusuusan mataifa ya magharibi na madai ya Wazanzibari ya mfumo wa vyama vingi hapa Zanzibar umeanzishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Kwa bahati mbaya tangu kuanzishwa na mkoloni wa Kingereza utaratibu wa vyama vingi vya kisiasa 1957 Zanzibar imeingia katika migogoro ya kisiasa baina ya vyama viwili na kuyapa fursa mataifa ya kigeni kama vile Tanganyika kuwa na uwezo wa kuifutia madaraka na mamlaka Zanzibar kama ilivyo fanya Hati ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ambao umeleta madhara makubwa kwa vile Zanzibar imesita kuwa na uwezo kamili wa kujitawala kama inavyo stahili. Wakati umefika wa kila Mzanzibari kutathmini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutazama athari mbaya kwa Wazanzibari na taifa lao. Kwa vile Muungano haukupata ridhaa ya Wazanzibari ambao ili bidi washirikishwe katika suala muhimu kama hili la kupoteza mamlaka ya nchi yao Wazanzibari waiombe Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iitishe kwa mujib ya sheria ya Zanzibar kura ya maoni mapema iwezekanavyo bila ya kujali itikadi za vyama vya kisiasa endapo wanataka kuendelea na Muungano au wanapendelea Uhuru wa Zanzibar.

Salim Said Rashid, Katibu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi, January 1964
Kwanini ujumbe huu achague kukutumia wewe ? Anaishi wapi mtu huyu ?
 
Mkuu Ghibuu, Tanzania tuna ndoa za aina tatu, za kimila, za kiserikali na za kidini. Ili ndoa iwe halali, lazima ifungwe kwa ridhaa ya wanandoa.

Ila kwenye ndoa za kimila, mila zetu za Kiafrika zinaruhusu ridhaa ya mwana ndoa mmoja tuu, ambapo ni mume na mke hutakiwa kuolewa kwa lazima atake asitake.

Mfano Kanda ya Ziwa kabila la Wasukuma ridhaa ya ndoa ni mzazi, kwenye ile ngoma yetu maarufu, ya Chagulaga, kinachofanyika ni ubakaji.

Mwanamke akibakwa, kisha akatulia kwenye ndoa na kutimiza wajibu wake wa ndoa, ikiwemo consumation bila kukataa, atahesabika ameridhia na ndoa hiyo inakuwa ni ndoa halali by performance.

Hivyo ndivyo ulivyo huu Muungano wetu. Ulisainiwa na upande mmoja tuu, na ukaridhiwa (ratification) na upande mmoja tuu, wa Tanzania Bara, lakini muungano huo umehalalishwa kwa performance.

Wengine wengi ni wageni humu ila hili tuliisha lizungumza sana humu
Kwa wanaopenda kuujua ukweli na sii wavivu wa kusoma, karibu kwenye rejea hizi
Paskali
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-zanzibar-haikuridhia-muungano-ina-maana-gani.

https://www.jamiiforums.com/threads...gano-kilichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano.

la la hati halisi za Muungano nimelizungumza
Hapa-Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!

Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu?!.

Na Hapa-Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhiaMuungano? Ina Maana Gani?!.

Na Hapa-Jee Wajua Kuwa Kuna UwezekanoTanzania Sii Nchi Halali Kisheria?!.
Hakuna kitu hicho kabisa eti umekubaliwa u pande mmoja, na umekubalika kwa performance? Are seriously? Huo ni ubakaji basi na sio ndo, lazima upande wa pili uridhie, ndio maana kila linalofanywa na Tanganyika katika huu muungano wananchi wa zanzibar hawaukubali, Tutaendelea kuuhoji kwa maana huu unao fanywa na muungano ni lazima kamaubakaji.
Ndio ukaona bwana yule kutishia watakao leta choko choko wa kuhoji kukiona, basi sisi Tutaendelea na tunaendelea kufukua makaburi ya huu muungano wa ndoa ya ubakaji.

hio performance unayo ongea wewe ni sawa kujitangaza mume,haliyakuwa ulie muowa ha kukubali, na ukamuingilia, eti ni ndoa halali?
 
Usemayo ni kweli elements za ubakaji zipo ila kama mbakwaji kweli mwanzo alibakwa bila ridhaa lakini ukibakwa na kutulia tuu bila kupinga, kukataa au kupiga kelele na kuamua kumkubalia tuu mbakaji aendelee kukubaka huku umejituliza tuli ukipokea mafao ya ndoa ya kulishwa, kuvishwa na kutimiziwa mahitaji, huku na wewe ukitoa zile huduma za ndoa, unahesabika umeridhia.

Hata kama ni kweli Muungano uliingiwa bila ridhaa, lakini Zanzibar haikuwahi kuchukua hatua zozote kupinga ubakaji huo huku ikipokea mafao ya muungano na kutimiziwa na kutimiza majukumu ya muungano, inahesabika ni ridhaa by performance.

Paskali
 
Back
Top Bottom