Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

Rais anahakikisha analinda Muungano kwa gharama yoyote ile! Mmmh hapa ninalo swali ila ngoja niishie kujiuliza mwenyewe kwenye Akili zangu
 
Usemayo ni kweli elements za ubakaji zipo ila kama mbakwaji kweli mwanzo alibakwa bila ridhaa lakini ukibakwa na kutulia tuu bila kupinga, kukataa au kupiga kelele na kuamua kumkubalia tuu mbakaji aendelee kukubaka huku umejituliza tuli ukipokea mafao ya ndoa ya kulishwa, kuvishwa na kutimiziwa mahitaji, huku na wewe ukitoa zile huduma za ndoa, unahesabika umeridhia.

Hata kama ni kweli Muungano uliingiwa bila ridhaa, lakini Zanzibar haikuwahi kuchukua hatua zozote kupinga ubakaji huo huku ikipokea mafao ya muungano na kutimiziwa na kutimiza majukumu ya muungano, inahesabika ni ridhaa by performance.

Paskali
Mkuu

Kama utaisoma history ya muungano na kabla ya muungano na baada ya muungano, na kabla hajafa rais wa kwanza alie saini mkataba wa muungano, utaweza kupata majibu yako sahihi, kwa nini rais alishindwa kuhoji huu muungano, zaidi alitamka haya muungano ni koti tu, t unaweza kulivua. Kwa vile alishindwa hoja.

Rais wa tanganyika wakati aliweza kumshawishi rais wa zanzibar kuwasambatisha wasomi wa zanzibar, na kumpa vutisho vya kupinduliwa.

Rais alishindwa kutumia taaluma ya kisomi kwa sababu yeye mwenyewe hakusoma, na kila alie mzunguka alimuona adui.

Sasa ni wakati wa kuhoji huu muungano, tumechoka na viti sho
 
Mkuu kwanza nikufahamishe kuwa uingereza alipewa Tanganyika kuishikilia hadi tutakapokuwa tayari kujitawala... So aliondoka kama tulivyotaka na wao wanatambua hilo haswa. So hakuna Mtanganyika mwenye wasiwasi na muingereza... Jaribu kuwa unatofautisha mambo kwenye mijadara maana inaleta wingi usiohitajika... Ila Zenji inajulikana ni Mali ya mtu aitwae Sultan na hata utajili unaozungumziwa na Wa huyo mtu ukiachia uliuchumaje japo ni wazi aliuchumia bara.. So tunapozungumzia Zanzibar tujikite huko am sure shule ulijifunza namna ya kutofautisha vitu visivyo endana.. Nikisema kijiko,kisu,una na kandambili am sure utaelewa nini kipo tofauti
Mkuu hapa nilipo nipo busy kidogo lakini itanibidi nikujibu kimwendokasi, Kwanza hakuna nchi hata moja Afrika iliokubali kutawaliwa kwa hiari yao. Kuliekwa vikao maalum kutawala bara la Afrika na hivyo vikao vilifanyika nchini Ujerumani, Kwanza Tanganyika ilitawaliwa na Ujerumani baadae akaja Muingereza. Halafu kuhusu Zanzibar Wareno walipoitawala kwa miaka 200 Wazanzibari wa miaka hio wakaomba msaada Oman. Sababu ya kuomba msaada Oman kutokana ilipigana na Mreno na kumshinda hio sababu ya kwanza ya pili Wazanzibari walifanya biashara na Oman,Yemen na India tokea enzi. Walipokuja Waoman na kuwashinda Wareno ndio Wazanzibari wakawakaribisha Waoman na kufanya makaazi yao Zanzibar,Mfano kama Afghanistan na Marekani kwa sasa. Bila ya kusahau Zanzibar nayo ilitawaliwa na Muingereza sasa huyo sultani alikuwa na power gani wakati yeye mwenyewe katawaliwa na muingereza?? Au hujui kama zanzibar ilipata uhuru 10 december 1963 nakupa link hii isome utaijua historia vizuri tuache kuchukuwa historia zilizotiwa kasumba.
History of Zanzibar - Wikipedia
 
Huna haja ya kujibu kimwendokasi wakati historia zipo kila sehemu hivi unajua wazanzibar ni watu Wa aina gani au Wa rangi gani na asili yao ni wapi? Na kwa mujibu wako zanzibar si mali ya Sultan ni ya wenyewe wazanzibari katafute historia upya utambue na sio wikipedia pekee maana mtu yeyote anaweza jaza maneno yake kama afanyavyo Mohamed Said
 
Suala la Wanzanzibari, limebakia kama vile Makaburu wa Afrika ya Kusini wanaopinga Utawala wa Watu Weusi. Mpaka leo Makaburu hawakubali kutawaliwa na watu weusi.
Wanzanzibari lazima tukubali ukweli.
Kuishi kwa kujindanganya sio vizuri na ndio inayolipeleka Taifa hili nyuma.
Kunung'unika na kulaumu imekuwa ni mila na desturi yetu.
Kama ni kurudisha au kuliendesha Taifa letu mbili, hakuna zaidi ya mikono yetu wenyewe.
Ubinaadamu ni Jina la pili la hili Taifa. Tudumishe Ubinaadamu, mengine Inshala yatajiweka sawa.
 
Pumba
 
Huna haja ya kujibu kimwendokasi wakati historia zipo kila sehemu hivi unajua wazanzibar ni watu Wa aina gani au Wa rangi gani na asili yao ni wapi? Na kwa mujibu wako zanzibar si mali ya Sultan ni ya wenyewe wazanzibari katafute historia upya utambue na sio wikipedia pekee maana mtu yeyote anaweza jaza maneno yake kama afanyavyo Mohamed Said
Duduwasha,
Unaejibishananae unamfahamu lakini umeona unitaje.
Nami nina kawaida kuwa nikitajwa hutokeza.

Mimi sijatia maneno yangu na laiti ningelikuwa na uwezo
huo wa ''kutunga,'' kuna mwanahistoria mmoja Mmarekani
alinambia basi ningekuwa ssawasawa na Irving Wallace.

Mimi naadika nniliyotafiti.

Nimezisoma nyaraka za Sykes ambazo baadhi zilisomwa na
John Iliffe miaka ya 1960 na akazitumia kuandika historia ya
Tanganyika.

Nimeziona shajara (diary) binafsi za Abdul Sykes na kuzishika.

Sikuzifungua tu kuzisoma kwa kuwa watoto wake hawakunipa
idhini ya kufanya hivyo.

Lakini yale niliyosoma katika nyaraka zao nyingine zimetosha
kubadili historia nzima ya uhuru wa Tanganyika.

Hili ndili linalowachoma wengi nawe ukiwa miongoni mwa hao.
 
Tatizo lako wewe unataka kuaminisha watu hii nchi imehangaikiwa na Muslim hapo ndipo hueleweki... Kuna speech ya Nyerere anazungumza kabisa sehemu alizopita watu walikuwa na vyama vya kimya kimya vya kujitawala ila walikuwa wanaogopa mtutu na Nyerere alikuwa akiwagutusha kuwa wakoloni ni wasimamizi tu Wa nchi hadi tutakapokuwa tayari kujitawala...akiwaambia waungane na hawata Tumia mtutu Wala mshale... Ni kuwa sema sema tu kwa mdomo hadi wataachia nchi... Hiyo sir I aliipatia huko huko uingeleza alipokuwa akisoma. Mikakati ya Uhuru ilifanyika nchi mzima miaka ya hamsini ilikuwa ni kuungana tu. Historia ya Tanganyika bora ungekuwa unaianzia time za Maji Maji...
 
Mimi si ambaye nimesema Waislam ndiyo waliokuwa mbele katika
kupambana na ukoloni.

Ushahiidi uko katika historia yenyewe.

Kleist Sykes akiandika kuhusu historia ya kuasisiwa kwa African
Association mwaka wa 1929 anasema kuwa, ''Wengi tuliokuwa
waasisi wa African Association tulikuwa Waislam kwa kuwa
Wakristo walikuwa wakionywa na viongozi wao kutojihusisha
na siasa.''

Unaweza kusoma habari hizi katika kitabu alichohariri John Iliffe,
''Modern Tanzanians,'' ''The Townsman Kleist Sykes,'' na Daisy
Buruku.

Huyu Daisy Buruku ni mjukuu wa Kleist Sykes na ni mtoto wa
Abdul Sykes na aliandika hayo kutokana na mswada alioandika
babu yake kabla hajafa mwaka 1949.

Mimi nimesoma vitabu vingi vya historia ya Tanganyika na nimefanya
utafiti na kuandika kitabu cha maisha ya Abdul Sykes lakini sijaona
popote kuwa kulikuwa na ''vyama vya kimya kimya,'' Tanganyika.

Kuhusu historia ya Maji Maji nimeandika mengi pia.

Unaweza kuingia hapa kusoma kuhusu vita hivyo na kiongozi wake
Sultani Abdul Rauf Songea Mbano:
Mohamed Said: CHIEF ABDUL RAUF BIN SONGEA MMOJA WA MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI NDIYO HUYU SONGEA MBANO?

Hayo mengine yote uliyosema kuhusu Nyerere akiwa Uingereza hayana
ukweli ambao unaweza kuthibitishwa.

Ukipenda unaweza kusoma kitabu cha Thomas Morlon, ''Nyerere: The
Early Years.''

ux13QRJJ6Ci5V5RUtxzRAvIRt_5gE0b6GV0DWwJBln8kUFDm1LXoEFEHH8X-GmYXiRzAUk1wNUgHSR-2DPYEBdYkqxxAvm7JeO_4qVgbTMEZvdiuGTfvCL06-QQ6mdmZkIdrD4ROL3wrqyPRQ9KmObG1Jye1X3NtxazcjPWLJ48OdEDbaLotLrVtAZ3UU-koOMyz6fjyYqO9brWpSpCHm99HSCOsSL1D-Ukn-oWJKRZKfnQEhGX87HRtsYGDM1UOwIVxKPenot-ZrmwggNSpmpD0laYPPDTFeneXxQUc5B-SDYQJjwhquk_4wN0BPDKBkkd5hFOr0XyDafZiROslDxbMROeo69o4U6gKkdu9XMUAB0dJLSoyyajyQsxxPYaeZASV-zHxT60-S9SJeiK-PdRH18usriC3Y4UkyrBTysdg1mGK5bIPtFjbP634Yx7WKEZbWqDKmwennVkL_PoPeascDfwhp-eLSTS_1mJednaRbdjSVKylBKQ6-Xl8pdBrShO24NQXrrLfsxaAhJyUOEJBCc_UiS61_I7goY3wbsmg40RyGQo1DBiMaKRaWhlbl2Qziu2MbrerwHyZV5SBSoVs97s360yaGNnap3ZXMVUX_X3G2g=w432-h659-no

Lakini katika hilo ulilosema kuhusu ''status,'' ya utawala wa Waingereza
Tanganyika katika utafiti wangu nimeona nyaraka katika Sykes Papers
Ally Sykes akizungumza kuhusu tatizo hilo.

Hii ilikuwa mwaka wa 1951:
''...Ally Sykes aliandika barua kali sana na kwa mara ya kwanza bila kutafuna maneno aliuliza uhalali wa Waingereza kuwatawala Waafrika wa Tanganyika. Ally Sykes alimwambia Katibu Mkuu, Bruce Hutt kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupata ufumbuzi kwa matatizo ya Waafrika, Uingereza lazima ijitoe Tanganyika na Umoja wa Mataifa utawale Tanganyika. Barua hiyo ilimkasirisha Katibu Mkuu na siku chache baadaye Ally alipokea barua kutoka kwa serikali ilikuwa imejaa vitisho, dharau, stihizai na makemeo. Katika sehemu moja barua hiyo inasomeka hivi: ''Hakuna suala la Umoja wa Mataifa 'kutekeleza utawala wa moja kwa moja wa nchi hii.''
 
Huyo Sykes mlimlazimisha awe Muslim sijui sababu ya mke au! Kwa wewe umeambiwa na watu na sisi tumeambiwa vizuri bila uzushi kwa maneno swafi yaliyo recodiwa na radio ya Tanzania na mhusika mkuu Wa Uhuru... oi
 
Duduwasha tafadhali nifafanulie kwani sijaelewa ulichokusudia kusema.
 
Back
Top Bottom