Muungano wa kijinga jinga ulisalia Duniani yaani Nchi ndogo kisiwa kidogo kimejilundikia utitiri wa watumishi,majimbo ya ubunge ya Zanzibar ni sawa na eneo analotawala Mwenyekiti wa kitongoji Tanganyika,kuna wabunge wengi hakuna mfano na pesa za kuwalipa mishahara na posho zote zinatoka Hazina Tanganyika na sasa kuna pesa inatumika kwa wingi kudhoofisha ukawa na kuua CUF hizi pesa zote zingetumika kuleta maendeleo nina imani Tanganyika ingekuwa Nchi tajiri kuliko South Africa lakini kwa kuwa Zanzibar ni Wajanja kuliko Tanganyika wataendelea kuwachuna buzi huku wakiendelea kulalamikia kero za muungano mpaka siku ya mwisho miaka 1000 huko mbeleni.