Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

Mwanamapinduzi adai Uhuru Zanzibar

Suala la ilongero kuwa makao makuu ya wilaya kwa mtazamo wangu ulizingua
Mkuu Pochilako, uko very right kwa sababu kila mtu has his/her own opinion. Watu tunatofautiana exposure, huwezi kujenga a smart city mahali ambapo kuna mji tayari unless ubomoe kila kilichopo kama Kigamboni City kila kilichopo kinabomolewa, panasawazishwa ndipo mji mpya unajengwa. Njoo uone Seven Eleven pale Kawe.

Paskali
 
Mimi sijazungumzia uasili wa mtu wala mtu anapenda kujitambulisha vipi, mimi nimezungumzia utambulisho rasmi ambao hakuna raia yoyote wa kitu kinachoitwa Zanzibar kwa sababu Zanzibar sio nchi, hivyo haijalishi Wazanzibari wanajitambulisha vipi kama Wazanzibari, huko ni kujifurahisha tuu na hakuna yoyote anayezuiliwa kujitambulisha vyovyote, lakini utambulisho rasmi ni Watanzania na sio Wazanzibari!.

Mtu unaweza kujifurahisha kwa kuiita nyumba yako nchi ya Pasco Mayalla, na kibanda chako ukakiita Ikulu ya Pasco Mayalla na mimi kujiita rais wa nchi ya Pasco Mayalla anayeishi Ikulu yake, nitakuwa sijafanya kosa lolote vivyo hivyo kwa Mzanzibari kujitambulisha vyovyote ili kujifurahisha ila hakuondoi facts kuwa uraia wao ni wa Tanzania pekee, hakuna raia wa Zanzibar bali Kuna wakaazi wa Zanzibar.

Paskali

Uraia wa Zanzibar upo .Kuna gazeti la nchi Fulani liliandika orodha ya wananchi raia wa kigeni Na lkaandika mpaka Idadi ya waZanzibari Na watanzania wanaoishi kwenye hiyo nchi Na kuna rafiki yangu alipiga simu kuulizia akaambiwa watu hao wanaishi Kwa utambulisho wa nchi ya Zanzibar Na si Tanzania
 
Hivi visiwa huwezi kuviacha vitaleta shida

Wazanzibari wa kawaida ambao ndio walio wengi wanainjoi huu muungano. Wengi wamehamia huku bara na kuanzisha makazi ya kudumu na wengi wao hawataki kusikia habari ya kurudi visiwani.

Muungano ukivunjika hawa watakuwa changamoto kubwa. Lakini wanene wa zanzibar ambao wana ardhi kule hili wanaona haliwahusu. Ubinafsi.

Kwa mzanzibari wa kawaida, huu muungano unafanya dunia aione dunia haina mwisho, sky is the limit
 
Hizo zote ni porojo za hapa na pale ukweli unabaki kuwa Zanzibar ni nchi na hilo la kuwa na passport moja ni maelewano ya muungano tu.

Wazanzibari leo hii wana vitambulisho vyao rasmi vya uraia wao, Uzanzibari. Wewe si Mtanzania? Jaribu kwenda Zanzibar uwaambie wakupe kitambulisho uone watakupa kipi. Usishangae wakikwambia hapa hatutoi vitambulisho vya machogo.

Na hivi karibuni washaamua kuwa mafuta na gas ya Zanzibar ni mali ya Wazanzibari pekee, si hasha soon, pia wakaamua kuwa na hati zao za kusafiria za Kizanzibari.
 
Wazanzibari wa kawaida ambao ndio walio wengi wanainjoi huu muungano. Wengi wamehamia huku bara na kuanzisha makazi ya kudumu na wengi wao hawataki kusikia habari ya kurudi visiwani.

Muungano ukivunjika hawa watakuwa changamoto kubwa. Lakini wanene wa zanzibar ambao wana ardhi kule hili wanaona haliwahusu. Ubinafsi.

Kwa mzanzibari wa kawaida, huu muungano unafanya dunia aione dunia haina mwisho, sky is the limit

Wengineo hawawezi ? Au wanaoumwa Na waZanzibar ni nyinyi tu .hivi waZanzibar wamefanya biashara Tanganyika baada muungano? Mbona huko Kenya ,Uganda,na nchi Nyengine wanafanya biashara. Au muungano Na Tanganyika ndiye Mungu atowaye riziki??
 
Wazanzibari wa kawaida ambao ndio walio wengi wanainjoi huu muungano. Wengi wamehamia huku bara na kuanzisha makazi ya kudumu na wengi wao hawataki kusikia habari ya kurudi visiwani.

Muungano ukivunjika hawa watakuwa changamoto kubwa. Lakini wanene wa zanzibar ambao wana ardhi kule hili wanaona haliwahusu. Ubinafsi.

Kwa mzanzibari wa kawaida, huu muungano unafanya dunia aione dunia haina mwisho, sky is the limit

Wazanzibar kwa biashara ni ndani ya damu yao, tazama Bakhressa. Unafikiri anafanya biashara Tanzania tu?

Kwa kukujuza tu, kuna mji unaitwa Pemba huko Msumbiji, unajuwa kwanini? Kama hujuwi uliza.

Leo hii Wazanzibari wengi zaidi wapo nje ya Tanzania wakifanya biashara kuliko wote waliopo Tanganyika.

Hapo huna hoja bali unahororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Uraia wa Zanzibar upo .Kuna gazeti la nchi Fulani liliandika orodha ya wananchi raia wa kigeni Na lkaandika mpaka Idadi ya waZanzibari Na watanzania wanaoishi kwenye hiyo nchi Na kuna rafiki yangu alipiga simu kuulizia akaambiwa watu hao wanaishi Kwa utambulisho wa nchi ya Zanzibar Na si Tanzania
Mkuu Gavana, naomba tuelimishane kidogo kuhusu huo uraia wa Zanzibar kimataifa unatambulikaje? ,au Passport za Wanzanzibari zimeandikwa Tanzanian/Zanzibaris? . Nijuavyo mimi passport ya Tanzania ina tumia title moja tuu ya uraia ni Tanzanians, kwa kutumia Passport ya Tanzania, there is no way kuna distinguish Watanzania na Wa Zanzibari unless kama nchi hiyo inavitambua vitambulisho vya ukaazi lakini hakuna raia wa Zanzibar mahali popote hapa duniani ila Wanzanzibari wapo popote kama walivyo Wahindi au Wasukuma nikimaanisha kwenye kujitambulisha kama Wanzanzibari ni sawa lakini hili la kutambulika kama raia wa Zanzibar ndio nasikia kwako.
Just let us know how? .

Kwa ni mipaka ya Zanzibar haitambuliki kimataifa?
 
Mipaka ya nchi ya Zanzibar kwa maana ya eneo, inatambulika kwenye ramani zote duniani kama ilivyo mipaka ya Mwanza.

Kwenye ramani za nchi, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, nchi ni JMT na mipaka ni ya JMT.

Paskali
 
mie nafikiri wazanzibar wakidai zanzibar yao na watangabyika na wadai tangabyika yao
 
Mipaka ya nchi ya Zanzibar kwa maana ya eneo, inatambulika kwenye ramani zote duniani kama ilivyo mipaka ya Mwanza.

Kwenye ramani za nchi, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, nchi ni JMT na mipaka ni ya JMT.

Paskali
Kwa hivyo hayo yaliyotamkwa Na wanasheria kuhusu Latham island ni porojo tu mafuta yanaweza kuchimbwa wakati wowote Na Tanganyika??
 
Hivi unajua kama tanganyika ilitawaliwa na malkia Elizabeth? [emoji15] kwahio hata tanganyika mnaogopa wazungu wasirudi tena au??[emoji15] Soma historia mkuu acha kasumba za kiccm hazina maana kwenye maisha yetu.
Mkuu kwanza nikufahamishe kuwa uingereza alipewa Tanganyika kuishikilia hadi tutakapokuwa tayari kujitawala... So aliondoka kama tulivyotaka na wao wanatambua hilo haswa. So hakuna Mtanganyika mwenye wasiwasi na muingereza... Jaribu kuwa unatofautisha mambo kwenye mijadara maana inaleta wingi usiohitajika... Ila Zenji inajulikana ni Mali ya mtu aitwae Sultan na hata utajili unaozungumziwa na Wa huyo mtu ukiachia uliuchumaje japo ni wazi aliuchumia bara.. So tunapozungumzia Zanzibar tujikite huko am sure shule ulijifunza namna ya kutofautisha vitu visivyo endana.. Nikisema kijiko,kisu,una na kandambili am sure utaelewa nini kipo tofauti
 
Mkuu Duduwasha, utambulisho rasmi wa kimataifa ni passport, nothing more, nothing less, mtu akiisha miliki passport ya Tanzania, ni Mtanzania, it doesn't matter anajitambulishaje, utambulisho wowote nje ya passport ni kujifurahisha, hivyo waacheni Wanzanzibari wajifurahishe kwa uzanzibari wao wa ndani ya mioyo yao, ila uraia wao ni watanzania wenzetu, nchi ni moja tuu, JMT, na uraia pía ni mmoja tuu, raia wa JMT, ila kwa Zanzibar, wana utambulisho rasmi wa ndani kwa kitambulisho cha ukaazi ambacho ni ruksa kujitambulisha popote kwenye social forums ila officially, they are Tanzanians.

Paskali
Sure ndio huwa nawaambia sana... Kuna Mzungu aloshamtoa nishai mzenji kwa style hiyo...
 
Mji uliozaliwa... Kama ni unguja au Pemba,Mafia,ukerewe,DSM n.k hawaandiki Tanganyika,Tanzania wala Zanzibar

Hizo zote ni porojo za hapa na pale ukweli unabaki kuwa Zanzibar ni nchi na hilo la kuwa na passport moja ni maelewano ya muungano tu.

Wazanzibari leo hii wana vitambulisho vyao rasmi vya uraia wao, Uzanzibari. Wewe si Mtanzania? Jaribu kwenda Zanzibar uwaambie wakupe kitambulisho uone watakupa kipi. Usishangae wakikwambia hapa hatutoi vitambulisho vya machogo.

Na hivi karibuni washaamua kuwa mafuta na gas ya Zanzibar ni mali ya Wazanzibari pekee, si hasha soon, pia wakaamua kuwa na hati zao za kusafiria ziwe za Kizanzibari.
 
Mkuu kwanza nikufahamishe kuwa uingereza alipewa Tanganyika kuishikilia hadi tutakapokuwa tayari kujitawala... So aliondoka kama tulivyotaka na wao wanatambua hilo haswa. So hakuna Mtanganyika mwenye wasiwasi na muingereza... Jaribu kuwa unatofautisha mambo kwenye mijadara maana inaleta wingi usiohitajika... Ila Zenji inajulikana ni Mali ya mtu aitwae Sultan na hata utajili unaozungumziwa na Wa huyo mtu ukiachia uliuchumaje japo ni wazi aliuchumia bara.. So tunapozungumzia Zanzibar tujikite huko am sure shule ulijifunza namna ya kutofautisha vitu visivyo endana.. Nikisema kijiko,kisu,una na kandambili am sure utaelewa nini kipo tofauti
Ndivyo ulivyosomeshwa kanisani ??
 
Back
Top Bottom