Msameheni bure Bwana Salim Said Rashid, ambaye ni Katibu wa Kwanza wa Baraza la Mapiduzi Zanzibar, baada ya yale Maponduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, 1964, atakuwa amepoteza kumbukumbu due to old age, hivyo atakuwa anakabiliwa na tatizo la highest state of mind incapacitation, hivyo kupoteza kumbukumbu kuwa Zanzibar ilipata uhuru wake December 10, 1963 kutoka kwa wakoloni Waingereza.
Hata hivyo huyu Mzee yuko very right kuwa Wanzanzibari hawakuulizwa, wala muungano haukuridhiwa kwa upande wa Zanzibar, yaani ratification process ilifanyika kwa upande mmoja tuu wa muungano huku bara, ila hata bila ya ratification, bado muungano uliridhiwa not expressly by ratification but impliedly by performance.
Muungano ni kama ndoa ili iwe ni ndoa halali, lazima ndoa hiyo ifungwe kwa ridhaa ya wanandoa husika.
Ikitokea ukambaka mwanamke na kumlazimisha kuwa mkeo, ndoa hiyo inakuwa sio ndoa batili,(void), bali ni ndoa batilifu (voidable), ambayo inaweza kuhalalishwa kugeuka halali au kubatilishwa kugeuka batili hivyo kuwa ni void ab initio.
Mwanamke akibakwa akawekwa mateka kinyumba, atahesabika anaishi kwenye dhana ya ndoa (presumption of marriage) na akitoa huduma zote za kindoa ikiwemo consumation bila kupinga, atahesabiwa ameridhia kubakwa kule, hata bila sherehe ya ndoa,hata bila ahadi ya ndoa ya kusema ndio, atahesabika yuko kwenye ndoa halali, ambapo uhalali wa ndoa hiyo iliyoanzishwa kwa kubakwa ni performance ya ndoa hiyo.
Vivyo hivyo ndivyo huu muungano wetu ulivyo, japo Zanzibar haikuridhia muungano huu expressly by ratification, lakini imekuwa ukivitekeleza vipengele vya muungano huu bila kipingamizi kwa kipindi cha miaka 52 sasa, hivyo kuhesabika imeridhia impliedly by performance.
Unaweza kunisoma zaidi hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/je-wajua-kuwa-zanzibar-haikuridhia-muungano-ina-maana-gani.
https://www.jamiiforums.com/threads...chi-halali-kisheria-de-jure-bali-ni-de-factor.
https://www.jamiiforums.com/threads...ano-kilichopo-ni-makubaliano-tuu-ya-muungano?!.
Paskali