Mwanamama Tapeli wa Vodacom Akamatwa Dar

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,318
Habari Wanabodi,

Leo Hii tumemkamata tapeli anayewaibia wa mawakala wa M-Pesa,Baada ya kufanya uhalifu sehemu mbali mbali jijini dar,makachelo wetu waliingia mzigoni na kuanza kutrack.

Huyu Mama anaibaje?

Anatafuta mawakala wa M-pesa na kuji-introduce kwamba ni mfanyakazi wa vodacom na anaonyesha kitambulisho kabisa.Mbinu anayotumia ni kwamba anawaambia kuna usajiri mpya kutoka vodacom so ametumwa na manager wa vodacom kuja kuwafaamisha mawakal wao,kwahiyo ukimuamini na kushika simu yako umekwisha.

Ataanza ngoja nikuelekeze jinsi ya kusajiri,basi na wewe kichwa kichwa unaingiza password anaikaririr fasta then anahamisha pesa akishahamisha anakwambia zima simu kwa mda wa dakika 20 ili iji-update kwenye system,kumbe mda huo anautumia kuitoa sehemu nyingine.

Kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.

Tapeli Vodacom.jpg
 
we slow pancha unaonekana umeolewa na mchaga na anakukuna vzuri thats why huchok kuwataja waume zako wachaga
 
Habari Wanabodi,

Leo Hii tumemkamata tapeli anayewaibia wa mawakala wa M-Pesa,Baada ya kufanya uhalifu sehemu mbali mbali jijini dar,makachelo wetu waliingia mzigoni na kuanza kutrack.

Huyu Mama anaibaje?

Anatafuta mawakala wa M-pesa na kuji-introduce kwamba ni mfanyakazi wa vodacom na anaonyesha kitambulisho kabisa.Mbinu anayotumia ni kwamba anawaambia kuna usajiri mpya kutoka vodacom so ametumwa na manager wa vodacom kuja kuwafaamisha mawakal wao,kwahiyo ukimuamini na kushika simu yako umekwisha.

Ataanza ngoja nikuelekeze jinsi ya kusajiri,basi na wewe kichwa kichwa unaingiza password anaikaririr fasta then anahamisha pesa akishahamisha anakwambia zima simu kwa mda wa dakika 20 ili iji-update kwenye system,kumbe mda huo anautumia kuitoa sehemu nyingine.

Kwa sasa anashikiliwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.

= usajili

Ahsante kwa taarifa.
 
Mbona sura yake kama mkikuyu vile!!!!!

Tiba
 
Huyo ni mchagga, na mi napenda jinsi wanavyojua kuitafuta pesa ila wameongeza kanuni "KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA AFANIKIWE KUPATA PESA"
 
Back
Top Bottom