Mwanakijiji ni nani, who is Mwanakijiji?

Status
Not open for further replies.
Vp Mwanakijiji? Nadhani atakuwa anaishi Marekani....Mwanakijiji pindi upatapo ujumbe wangu NAHITAJI KUOA MTOTO WAKO awe mke wangu. Yule wa kike mkubwa.

Si mpaka awe nae, yeye mwenyewe unaona yuko interested in men.
 
Ipo siku atajitokeza hadharani na watu watamjua tu ,ana michango mizuri sana na upeo mkubwa sana wa kujua na kuchambua mambo mengi!
 
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?
Mkuu Mpitanga, sijaweza kuona status yako ila wewe utakuwa ni mgeni jf.

Humu jf tuna sheria yetu iitwayo "name calling", sii kosa kuulizia nani ni nani humu, watu wanaokujibu wanamjua fika Mzee Mwanakijiji ni nani ila hawakutajii kwa sababu wanajua ni kosa kumtaja memba yoyote yeye ni nani kiuhalisia!.

Ila kwa kukusaidia tuu kwa Mzee Mwanakijiji, hapa jf ni maskani kwake, unaweza kumtembelea nyumbani kwake ni www.mwanakijiji.com au jichanganye mpaka sebuleni kwake kwa kumtembelea kwenye fb yake anaitwa "mimi mwanakijiji" pia ana skpe, ana tweeter, ana padomatic kote huko utamuona tuu na kumfahamu kwa karibu.

Wakati wa matukio muhimu ya kisiasa, huteremka mpaka ground zero!. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Arumeru, zile siku za mwisho mwisho, dying moments, Mzee Mwanakijiji alishuka kimya kimya na kuibukia Arumeru, akafanya vitu vyake na kuishia zake kimyakimya. Kwa vile wengi hawamjui kihalisia hawakumjua ndio Mzee Mwakijiji!. Sisi tunaomjua tulimuona!. Wengi wetu humu walisheherekea tuu ushindi wa Nasari lakini sio wote wanaofahamu ushindi ule ulipatikanaje behind the scenes!.
 
Chumvi imehusika hapa
 
Mwanakijiji ni mwanakijiji.... na itapendeza abaki na role yake hiyohiyo, wale mnaosema apewe uongozi, nadhani hamuelewi role yake kwenye checks and balances

Ukimpa leo uongozi, kesho mwenyewe utaandamana.... hasa kutokana na katabia ketu kasikopenda any challenges zaidi ya masifa na kutukuzana

MMM ni MMM,
 
Unamaanisha Lowasa?????

Mkuu Mpitanga, sijaweza kuona status yako ila wewe utakuwa ni mgeni jf.

Humu jf tuna sheria yetu iitwayo "name calling", sii kosa kuulizia nani ni nani humu, watu wanaokujibu wanamjua fika Mzee Mwanakijiji ni nani ila hawakutajii kwa sababu wanajua ni kosa kumtaja memba yoyote yeye ni nani kiuhalisia!.

Ila kwa kukusaidia tuu kwa Mzee Mwanakijiji, hapa jf ni maskani kwake, unaweza kumtembelea nyumbani kwake ni www.mwanakijiji.com au jichanganye mpaka sebuleni kwake kwa kumtembelea kwenye fb yake anaitwa "mimi mwanakijiji" pia ana skpe, ana tweeter, ana padomatic kote huko utamuona tuu na kumfahamu kwa karibu.

Wakati wa matukio muhimu ya kisiasa, huteremka mpaka ground zero!. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Arumeru, zile siku za mwisho mwisho, dying moments, Mzee Mwanakijiji alishuka kimya kimya na kuibukia Arumeru, akafanya vitu vyake na kuishia zake kimyakimya. Kwa vile wengi hawamjui kihalisia hawakumjua ndio Mzee Mwakijiji!. Sisi tunaomjua tulimuona!. Wengi wetu humu walisheherekea tuu ushindi wa Nasari lakini sio wote wanaofahamu ushindi ule ulipatikanaje behind the scenes!.
 
Mkuu Mpitanga, sijaweza kuona status yako ila wewe utakuwa ni mgeni jf.

Humu jf tuna sheria yetu iitwayo "name calling", sii kosa kuulizia nani ni nani humu, watu wanaokujibu wanamjua fika Mzee Mwanakijiji ni nani ila hawakutajii kwa sababu wanajua ni kosa kumtaja memba yoyote yeye ni nani kiuhalisia!.

Ila kwa kukusaidia tuu kwa Mzee Mwanakijiji, hapa jf ni maskani kwake, unaweza kumtembelea nyumbani kwake ni MwanaKijiji.COM au jichanganye mpaka sebuleni kwake kwa kumtembelea kwenye fb yake anaitwa "mimi mwanakijiji" pia ana skpe, ana tweeter, ana padomatic kote huko utamuona tuu na kumfahamu kwa karibu.

kUna kitu umessahau arifu.....ungeongezea hivi.....
Nilikutana na Mwanakijiji Boston nilipokuwa nakwenda kwenye mkutano wa uwezeshaji ujasiriamali katika uandishi wa habari Calfornia.....tuliongea nae sana airport aliposikia nipo marekani alikuja mpaka Boston kisha tukakutana nae CA.....

By the Way Mwanakijiji apart ya kumjua vema tangu magorofani Ilala tulipokuwa mabachela tulikuwa tunaishi nae kwenye servant kwota pia nilikaa nae nyegezi mwanza wakati huo mimi alinikuta nimetoka Sydney nikashuka mpaka Entebe na KLM nikapanda chata plane mpaka Mwanza ndio nikakutana nae....pia ni mtu mkarimu sana....hata sasa nimeongea nae kwa simu.....ana mke na watoto watatu mke wake nilimfahamu nilipokuwa nasoma UDSM kitivo cha sheria.....siku moja kulikuwa na lekcha...alikuwa anatufundisha rafiki yangu na kama baba yangu mlezi Prof Maina mvua kubwa kubwa ikapiga......nikampa lifti mke wake wakati huo sikuwa na pesa ndio kwanza nimeanza maisha nilikuwa na ka land rover 110 station wagon mpya nilionunua Uingereza wakati nimekwenda short course ya uandishi wa habari wa kiintelejensia bradford......tangu hapo tulifahamiana nae.....

Story hii sio kwamba najisifia na nisieleweke vibaya kwa wana JF nitendelea kuwa yule yule Pasco wa JF....
 
Pasco wa JF bhana.... haishi story!!!

Yani huyu sijui angekua mpogoro ingekuaje, LOL
 
Daah! Mkuu nikuheshimu tuu, nisikujibu vibaya.. Kwa heshima na taadhima isome tena thread na uone majibu yako ni relevant? Halafu jihukumu tu mwenyewe kiutu uzima..

Au labda ulivyojibu kwa kujitanabaisha unavyomjua wewe ndo umemsaidia na mwenye thread kumjua.. Daah!

Thnk critically and act accordingly!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom