Mwanakijiji ni nani, who is Mwanakijiji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanakijiji ni nani, who is Mwanakijiji?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mpitagwa, May 22, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita mwanakijiji. Kwa kutumia makala zake inaonekana kwamba huyu bwana ni mjuaji na anaweza akachangia zaidi katika kujenga taifa hilli kama atajitokeza hadharani akafahamika kama walivyo wanahabari wengine. Na humu JF itabidi tuanze kupigiana kura kama big brother kuwa nani sasa anatakiwa agraduate kutumia nick name ajulikane kwa jina lake halisi kama alivyo Kitila Mkumbo. Embu nisaidieni mimi nataka kumuona mwanakijiji. Who is mwanakijiji?
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ngoja wanaomjua wanakuja.......
   
 3. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  I really like the man! He has got some contructive ideas.
   
 4. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo in red nimepigilia mstari sababu nadhani amekua akichangia kujenga taifa kwa kutumia ujuzi wake tayari. Hiyo njia anayo tumia ndio mchango wenyewe. wewe ulitaka achangie kwa kutumia njia unayo itaka wewe?
   
 5. lidoda

  lidoda JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 632
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 80
  wewe mbona hujulikani kwa jina halisi walau hata picha na simu yako???
   
 6. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145


  Wewe wa wapi? Kwani hujui wanakopatikana? Unadhani aliyeleta idea ya watu kutojionyesha hadharani ni mjinga? Elimika na makala zake tu inatosha. Wanaohitaji kukuona wewe ni wangapi humu? All in all subiri majibu ya wengine nadhani watakupa majibu ya size yako.
   
 7. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  jaribu kum PM. atakujibu vizuri nadhani. Achia jukwaa liendelee kujiandaa na ujio wa M4C huku Mtwara na Lindi na pia kumsubiri JK arudi kwa obama atwambie misaada inayokuja mwaka huu wa fedha inaambatana na mashoga wangapi
   
 8. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzee Mwanakijiji bwana....!!!! I deeply and really LIKE THE MAN!!!!!
   
 9. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji =Mwanakijiji
  Kama miaka kumi umekuwa ukisoma makala zake akitumia jina hilo,Je unataka ajiite Juma ama Johnson ndio utaona umemfahamu/umemjua?
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  [h=3]About Mimi[/h]


  Whatever you think about me, you might be correct.


  [h=3]Basic Info[/h]


  [TABLE="class: uiInfoTable profileInfoTable"]
  [TR]
  [TH="class: label"]Sex[/TH]
  [TD="class: data"]Male[/TD]
  [/TR]
  [TR="class: spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: label"]Interested In[/TH]
  [TD="class: data"]Men and Women[/TD]
  [/TR]
  [TR="class: spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: label"]Languages[/TH]
  [TD="class: data"]English, French and Spanish[/TD]
  [/TR]
  [TR="class: spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: label"]Religious Views[/TH]
  [TD="class: data"]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR="class: spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: label"]Political Views[/TH]
  [TD="class: data"]
  • Other
   Radical Tanzanian  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  [h=3]Contact Info[/h]


  [TABLE="class: uiInfoTable mvl mhm profileInfoTable"]
  [TR]
  [TH="class: label"]Screen Names[/TH]
  [TD="class: data"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="class: spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: label"]Email[/TH]
  [TD="class: data"]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="class: spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: label"]Facebook[/TH]
  [TD="class: data"]http://facebook.com/mwanakijiji[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Facebook © 2012 · English (US)

  About
   
 11. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Mwanakijiji is a smart man.
   
 12. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya we, mi mwenyewe nilipoona ameanza ku-like nilijua atajitambulisha, then ka-like afu kasepa, so hutomjua, we kakojoe ulale.
   
 13. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi ukiunganisha hizo post zote alizo "like" huwezi kupata message aliotaka kutoa?
   
 14. Boonabaana

  Boonabaana JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wewe ni: dfreym sio? Yeye ni: Mwanakijiji, sa ajitambulishe kwa lipi?
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [TABLE="class: cms_table_uiInfoTable cms_table_profileInfoTable"]
  [TR]
  [TH="class: cms_table_label"]Sex[/TH]
  [TD="class: cms_table_data"]Male
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="class: cms_table_spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH="class: cms_table_label"]Interested In[/TH]
  [TD="class: cms_table_data"]Men and Women
  [/TD]
  [/TR]
  [TR="class: cms_table_spacer"]
  [TD="colspan: 2"][HR][/HR][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  I knew it! something was not very right.
   
 16. M

  Mboko JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mie binafsi namkubali sana sana mzee mwanakijiji ni mtu hodari sana wa kuchambua mambo kusema kweli mtu kama mwanakijiji angekuwa mwana chama wa chama cha ukweli CHADEMA ningependa sana na hata kama yuko huko pia nasema hongera sana Kamanda endelee kujenga nchi kwa hoja kwani hii nayo ni kazi kubwa sana ya kuelimisha jamii,big up Mwanakijiji.Ubarikiwe sana tupe mambo humu ndani tuyachambue.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Labda utusaidie what is not very right here? kwa sababu hata mimi niko Interested na Men & Woman.
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vp Mwanakijiji? Nadhani atakuwa anaishi Marekani....Mwanakijiji pindi upatapo ujumbe wangu NAHITAJI KUOA MTOTO WAKO awe mke wangu. Yule wa kike mkubwa.
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa mabinti wa watu wanaolewa kiholela namna hii basi hata mimi ningefanya booking ya kumuoa Mwanaasha Kikwete.
   
 20. Indume

  Indume Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mwanakijiji ndilo jina lake. Uliza jingine ujibiwe
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...