Mwanakijiji Amuumbua makamu wake

Sasa Mwafrika wa kike unataka kubisah mwanakijiji sio Lula wa Ndali?Mie sina ugomvi na Mwanakijiji ila nataka awe anatumia jina Moja katika Makala Zale,leo sio hivi kesho hivi..

Hizo nguvu zako za "kutaka" umezitoa wapi, yaani ukitaka nilale nilale, nitembee nitembee kwa sababu Gembe kataka!? Matakwa mengine ya kipumbavu (na ninamaanisha hivyo siyo tusi). Unataka wewe kama nani wangu?
 
Mod please Thread ibadilishwe iwe Who is Mr MwanaKjj ili ianzishwe nyingine inmhusu Mr Michuzi mzee wa bwawa la Maini(liverpoooool)

Ilete maana halisi please please
 
Naona iendelee, tumsikilize Mzee mwenzangu Issa.. haya mambo ya kunijadili mimi huwa yananichefua kweli, watu hawajui tu. Sijui kwanini watu wanapenda niwe sehemu ya mjadala. My last post kwenye hii na tuendelee na suala la Kaka Michuzi na my waifu wake.
 
And....???

Ila hilo la kuchanganya hao watu wote uliowataja, hauko peke yako kwenye jaribio hilo, unaweza kuongeza majina ya watu wengine ukijisikia.

Lakini hapa hii mada ni ya Michuzi, na kuiteka nyara hivi si vizuri ukitaka kuanzisha mada ya "mwanakijiji" ungana na wenzio waliofanya hivyo kabla yako.

Mimi Nyani Ngabu ndie Mwananakijiji...
Saa ingine huwa najiongelesha mwenyewe...
 
Gembe Haya Matatizo Ya Kimslahi Yataisha Lini Si Mkubaliane Nani Amwachie Mwenzake,,nahisi Mwanakijiji Ataanza Kukuachia
Wacha Tumzungumzie Mtu Mwenye Kujali Masilahi Y Wananchi Na Si Ndugu Yetu Michuzi,,,kila Kukicha Kwenye Blogu ,,,,,utakuta
Salamu Wadau Wa Uzinzini Nawasalimu Wote Mlio Peponi...toa Mada Watu Wachokonoe.....

Pili Mwoga Sana Huyu Kijana Wetu Hata Kuandika Madai Yanyohusu Maisha Ya Watanzania...afadhali Ya Mwanakijiji Wachi Ajiite Majina Kumi Lakini Akigusa Basi Kidonda Akiponi Muulize Lowasa Atakwambia,,,nahisi Alieleta Hii Mada Ya Michuzi Anajuta Kukuta Wanamjadili Toto La Mwanzanzila Babukubwa.........
Semejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hizo nguvu zako za "kutaka" umezitoa wapi, yaani ukitaka nilale nilale, nitembee nitembee kwa sababu Gembe kataka!? Matakwa mengine ya kipumbavu (na ninamaanisha hivyo siyo tusi). Unataka wewe kama nani wangu?
Nimekugusa pabaya...teh teh!that is the truth which you cant hide though you are good in writting the truth !
 
Nafikiri humu hakuna katazo la mtu kutumia jina/majina anayoyapenda. Na ndiyo maana wapo ambao wana majina ya uandishi na wapo ambao wanatumia majina yao halisi. Kutumia majina mengi kuna maana nyingi na si kwamba kunaonesha ubabaishaji katika mabo. Forum ina watu wenye nafasi wenye mawazo chanya kwa Tanzania lakini wanashindwa kuyatoa panapohusika kwa kuwa hayatatekelezwa na mafisadi.
 
nnazani mtu akitumia majina mengi au kidogo au moja sio tatizo tatizo ni mawe.

ikiwa mawe yamesimama poa na yakiwa manayaufu hayaumizi tunayaacha tu.


kwa hio tuendelee kumkoma nyani giladi mchana kweupeee
 
Tunakoelekea members kwa malumbano haya JF itapoteza uelekeo.Kama tutaleta usisiem,uchadema.utlp n.k then JF IS GOING to DIE WITH NATURAL DEATH.Naomba tuwe na msimamo wa kilikomboa taifa hili ambalo liko mikononi mwa wachache kana kwamba nchi hii ni ya kwao.
 
Hili ni swali gumu sana mkuu lakini kama alivyosema hapo juu Ushirombo, inaonekana ukimtetea Mwanakijiji hapa JF dhidi ya watu kibao ambao wana chuki nyingi dhidi yake basi unabatizwa jina la Mwanakijiji!

1.Nani awe na chuki na mtu ambeya nisiyemjua?
2.Watu wangapi wana chuki na Mwana kijiji ambo wapo hapa?
3.Kwanini unataka kutufanya Mazuzu kwamba Mwanakijiji is untouchable?
4.Mie sijamtuhumu WMana kijiji ila nilitaka watu wamfahamu Mwanakijiji ni nani katika makala.
5.Sina ugomvi na Mwanasiasa wa CHADEMA na nina mahusiano mazuri ya kisisasa na viongozi waandamizi wa CHADEMA.ninazungumza nao na sijawahi kuleta mazungumzo kat i yao na wao hapa JF kwa kuwa nayathamini mawazo yao na wana uhuru wa wao kuyaweka hapa.
 
1.Nani awe na chuki na mtu ambeya nisiyemjua?
2.Watu wangapi wana chuki na Mwana kijiji ambo wapo hapa?
3.Kwanini unataka kutufanya Mazuzu kwamba Mwanakijiji is untouchable?
4.Mie sijamtuhumu WMana kijiji ila nilitaka watu wamfahamu Mwanakijiji ni nani katika makala.
5.Sina ugomvi na Mwanasiasa wa CHADEMA na nina mahusiano mazuri ya kisisasa na viongozi waandamizi wa CHADEMA.ninazungumza nao na sijawahi kuleta mazungumzo kat i yao na wao hapa JF kwa kuwa nayathamini mawazo yao na wana uhuru wa wao kuyaweka hapa.

Gembe, heshima yako ndugu. Katika hili swala la kubambikizia watu majina haswa ya JF kubali kuwa umechemsha. Hamna haja ya kuanza kulalama mambo ya kivyama ndugu yangu.

Fata, unga mkono hoja au basi kama hukubaliani pinga hoja za mtu, mambo ya kutaka kumbatiza mtu majina hayana maana kabisa, haswa hapa JF. Tafadhali sana nakuomba usome post yako ya kwanza uone jinsi ulivyo vuka mstari wa kimaadili na hekima.

SteveD.
 
itakuwa vizuri kama Mwanakijiji akitueleza kwanini anatumia majina meng katika Forum hii..
Majina ya Mwanakijiji ni kaka ifuatavyo.

1.Mzee Mwanakijiji
2.Lula wa ndali Mwanaznela
3.Asha Abdala
4.Pundit
5.Mpita njia
6.Mwafrika wa Kike
7.Mjenga Hoja.

hii inaleta utamu sans ahapa JF.naomba kutoa ushahidi wa Mwanakijiji kutumia majina mawili kama ifuatavyo.

Angalia makala hii ya Raia Mwema ya wiki iliyopita ya Kisa cha Abunuwasi na kikao cha CCM Butiama kwa kutumia jina la Lula Ndali Mwananzela


hiyo makala ya Wamaziacha fikra za Mwalimu Mzee Mwanakijiji aliiandika kwa kutumia jina la M.M Mwanakijiji.Hii ni makala ya jumapili katika gazeti la Tanzania Daima ambapo alisema kuhusu hilo


na makala halisi ni hii katika Gezeti la Kulikoni tarehe 25-09-2007 na jina la makala ilikuwa ni 'Tungelikuwa wao sisi,tungefanya hivi'.hapa alitumia jina la Mjenga Hoja.

http://www.jamboforums.com/archive/index.php/index.php?t-5650.html

Binafsi mie ni mpenzi mkubwa wa makala za mwanakiji,na huwa sikosi kuziosoma na nianzo nyingi sana.Nampongeza sana kwa ustadi wake wa kuandioka habari hata kama ni ya jana leo anaweza andika makala nzito!

Sijui mengi kuhusu thread hii lakini niliposoma kuwa Mwanakijiji na Pundit ni mtu mmoja nimecheka sana.

Mtu yeyote anayefuatilia michango ya Mwanakijiji na yangu ataona tofauti kubwa tu katika style. Not to mention some fundamentals kama vile mimi kuwa skeptic/atheist na yeye kuwa a devout Christian, mimi kuwa skeptic na yeye kuwa Nyerereist na kadhalika.

Inaonyesha mtoa hoja anavyokurupuka sasa mpaka hayo mengine aliyosema, ikiwa ni pamoja na hizo aliases nyingine alizompachika Mwanakijiji zinakuwa sus kwa sana tu.
 
oh snap! girl.. now its my turn to get the popcorn...!! mwenyewe nimekaa barazani kwenye kiti changu cha uvivu miguu juu, pembeni kuna kibuyu cha ulanzi!


We Mwanakijiji hivi kwa nini kuitaja Togwa hiyo hali mwenzio niko huku ughibuni ambako hata uoto wa mianzi tu ni adimu kama jasho la kuku?

Utani mwingine wa kutaja taja togwa huku wengine tuna kiu ya muongo mzima ni mbaya.

Siku nikirudi kule Malinyi
BreakFast, Lunch,Dinner na late Mid night Dinner ni lazima viambatane na Togwa hiyo.
 
Mwanakijiji amesha kiri kwamba Mwanakijiji si jina lake halisi.
Hili wote hapa JF tunalifahamu hata Pres Kikwete na Baraza lote la mawaziri wanajua hivyo.

Wengi wetu hapa pia tunatumia majina yasiyo yetu.

Kifupi ni kwamba hapa JF tunashindanisha hoja, hatushindanishi watoaji wa hoja hizo.

Kama kuna mtu au watu wana majina 2 au 7 mimi sina noma nao, kwa sababu katika ulimwengu wa kuficha utamburisho halisi hoja yako ndiyo kitamburisho.

Watu wanao kurupuka na kuorodhesha msululu wa majina na kuyaunganisha na jina la mtu mmoja bila kufanya utafiti na kupata ukweli ni wababaishaji na zaidi wamekosa hoja.
 
Sijui mengi kuhusu thread hii lakini niliposoma kuwa Mwanakijiji na Pundit ni mtu mmoja nimecheka sana.

Mtu yeyote anayefuatilia michango ya Mwanakijiji na yangu ataona tofauti kubwa tu katika style. Not to mention some fundamentals kama vile mimi kuwa skeptic/atheist na yeye kuwa a devout Christian, mimi kuwa skeptic na yeye kuwa Nyerereist na kadhalika.

Inaonyesha mtoa hoja anavyokurupuka sasa mpaka hayo mengine aliyosema, ikiwa ni pamoja na hizo aliases nyingine alizompachika Mwanakijiji zinakuwa sus kwa sana tu.

Pundit!

Just like you ...sijui mengi kuhusi hii thread..but in quick observation ..I can C someone collecting datas of somekind..!!! Our reaction and respond to him/her...make him come to a conc' of some kind....anatoa na kujumlisha...any way all what I can say...Hii ndio JF ..but lets not loose direction ...Focus is very important in all what you want to bring as an achivement.

Wengine hapa wala hatusomi majina ya nani ka_post! Kinachokuwa cha msingi ni HOJA ILIYOKO MEZANI!!!
 
Pundit!

Wengine hapa wala hatusomi majina ya nani ka_post! Kinachokuwa cha msingi ni HOJA ILIYOKO MEZANI!!!

Nafagilia mazee, hii objectivity ya hali ya juu, maana saa nyingine kujua tu nani kachangia inaweza kuanza kukupa undue bias.
 
Using this thread, U can easily know small minds...........

Endeleeni, tunawasoma na kujisikia aibu kwa jinsi mnavyojadili mambo ya kipumbavu na yasiyo na kichwa wala miguu.

Halafu nyinyi ndio mnamsema JK!
 
Tunaye John Mashaka =Mwanakijiji anatusaidia, ameshatoka live Mungu atupe nini tena? na ile miwani yake atautizama uchumi wetu kama Kobe.
 
Hatimaye ameamua kujitoa kwenye BLOGS mbali mbali kwa ajili ya kampeni za kisiasa, jee ataweza kusaidia Chadema kama mbunge wao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom