Mwanakijiji Amuumbua makamu wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanakijiji Amuumbua makamu wake

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mtalii, Mar 31, 2008.

 1. m

  mtalii JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2008
  Joined: Dec 14, 2006
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. m

  mtalii JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2008
  Joined: Dec 14, 2006
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanakjj usiifute hii thread kwa vile wewe ni MOD humu. lazima tuweke ukweli wote humu.

  You know everyone at JF welcome!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  ..............mmmh.......!
   
 4. PainKiller

  PainKiller Content Manager Staff Member

  #4
  Mar 31, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 2,739
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Highlighted above is fabrication, Mzee Mwanakijiji is not a MOD on this forum. Not sure about the rest of your claims, but on this one you are wrong. Have a nice day!
   
 5. m

  mtalii JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2008
  Joined: Dec 14, 2006
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usishangae ndio mambo jamaa huwa anafuta au kuzipeleka kusiko zile mada zinazomhusu Mbowe.
  ndio maana huwa tunasema wenzetu wako Home ground tusio Chadema tuko AWAY.
  Unajua Chacha alisma kuwa Chama chao kina ubaguzi wa kidini na kikabila.toka hapo Mbowe hataki kumuona.
   
 6. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2008
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  How about that?
   
 7. m

  mtalii JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2008
  Joined: Dec 14, 2006
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtumie PM mwenye nyumba,huwezi kusema niko wrong bila kuniomba evidence!!
   
 8. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hivi hakuna anayeweza kumhoji mwanakijij na historia yake?>
   
 9. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  itakuwa vizuri kama Mwanakijiji akitueleza kwanini anatumia majina meng katika Forum hii..
  Majina ya Mwanakijiji ni kaka ifuatavyo.

  1.Mzee Mwanakijiji
  2.Lula wa ndali Mwanaznela
  3.Asha Abdala
  4.Pundit
  5.Mpita njia
  6.Mwafrika wa Kike
  7.Mjenga Hoja.

  hii inaleta utamu sans ahapa JF.naomba kutoa ushahidi wa Mwanakijiji kutumia majina mawili kama ifuatavyo.

  Angalia makala hii ya Raia Mwema ya wiki iliyopita ya Kisa cha Abunuwasi na kikao cha CCM Butiama kwa kutumia jina la Lula Ndali Mwananzela
  hiyo makala ya Wamaziacha fikra za Mwalimu Mzee Mwanakijiji aliiandika kwa kutumia jina la M.M Mwanakijiji.Hii ni makala ya jumapili katika gazeti la Tanzania Daima ambapo alisema kuhusu hilo
  na makala halisi ni hii katika Gezeti la Kulikoni tarehe 25-09-2007 na jina la makala ilikuwa ni 'Tungelikuwa wao sisi,tungefanya hivi'.hapa alitumia jina la Mjenga Hoja.

  http://www.jamboforums.com/archive/index.php/index.php?t-5650.html

  Binafsi mie ni mpenzi mkubwa wa makala za mwanakiji,na huwa sikosi kuziosoma na nianzo nyingi sana.Nampongeza sana kwa ustadi wake wa kuandioka habari hata kama ni ya jana leo anaweza andika makala nzito!
   
 10. M

  Mume Wenu New Member

  #10
  Apr 2, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenye majina mengi humu wako wengi. Unajua kuna wakati mwingine unakuwa unataka kuchangia hoja bila kujulikana. Si unajua kama una mawazo ya kitatanishi ndivyo inavyokuwa.
   
 11. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Katika hii argument, ni salama kusema kuwa majina mengine ya mwanakijiji ni Gembe, mahesabu, kadampinzani, allah slave au lolote lile unaweza kufikiria si ndio?

  Watu wengine mkikosa kazi ya kufanya! yaani kimekuumiza sana miaka yote hii kuona kuwa kuna mtu hapa JF anaitwa mwafrika wa kike ambaye ni independent soul and body from your tetro... ego na umefikia kudhani kuwa there is no way hii jinsia inaweza kuwa hivi na kufanya haya. Kwako wewe, mwafrika wa kike ni lazima iwe ni jina la jinsia ya kiume ambayo tu ndiyo yenye uwezo wa kuchapisha kwa speed ya maneno mia tano kwa sekunde moja kwa kutumia computer nyingi ambako ziko sehemu mbali mbali za dunia -ambalo linajulikana kama Mwanakijiji.  Ulichoprove hapa ni nini sasa?!??!

  Thread imeanzishwa ya Michuzi, wewe na chuki zako na woga wako dhidi ya mwanakijiji unakimbia kuja na vitu ambavyo hata mtoto wa 2nd grade anaweza kuviona kuwa ni paranoia in making?

  Je hili nalo linahitaji invisible aje kuingia hapa na kusema kuwa Mwanakijiji sio Asha Abdala wala Mwafrika wa kike? Au hili nalo linahitaji mtaalamu toka Sweden (kama alivyosema Kikwete) aje kuthibitisha kuwa hakuna possible way ya kuchapicha maneno mia tano kwa sekunde moja na yote yakatokea JF within minutes kwa nicks zote hizo ulizotaja!

  Gooooshhi,, wakati mwingine wana ccm hata mnatia vinyaa hapa!
   
 12. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Well ningependa kusema mimi ni Allah's Slave na si Mwanakijiji. Mimi najijua kuwa ni mimi, kunifananisha na Mheshmiwa Mwanakijiji ni kunipa sifa nsiyostahili.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hoja mfu, kama huna cha kuandika soma mitundiko ya wengine.....inawezekanaje mtu mmoja awe na identity zote hizo? na awe anachnagia kiasi hicho nimejaribu kujumlisha postings za watu hao ama mtu huyo, it can not be...kwani Mwanakijiji analipwa na JF....? ama kuchangia hapa JF ni ajira? Gembe usiwe mvivu wa kufikiri
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  And....???

  Ila hilo la kuchanganya hao watu wote uliowataja, hauko peke yako kwenye jaribio hilo, unaweza kuongeza majina ya watu wengine ukijisikia.

  Lakini hapa hii mada ni ya Michuzi, na kuiteka nyara hivi si vizuri ukitaka kuanzisha mada ya "mwanakijiji" ungana na wenzio waliofanya hivyo kabla yako.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Apr 2, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  oh snap! girl.. now its my turn to get the popcorn...!! mwenyewe nimekaa barazani kwenye kiti changu cha uvivu miguu juu, pembeni kuna kibuyu cha ulanzi!
   
 16. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Sasa Mwafrika wa kike unataka kubisah mwanakijiji sio Lula wa Ndali?Mie sina ugomvi na Mwanakijiji ila nataka awe anatumia jina Moja katika Makala Zale,leo sio hivi kesho hivi..

  Kama Mawazo yanafanana basi,Mwanakijiji =Ushirombo=Mwaftika wa kike=Lula wa Ndali.
  Kwa ushahidi wa makal hizo,Mwanakijji hana cha juitetea kuhusu hili.Yeye ndiye mjenga hoja !naomba Mwanakijiji unijibu katika PM.aua Mwafrika wakike ambaye ndiye wewe

  alafu Mwafrika wa kike usilete za kuleta hapa,Haunitishi na wala siogopi kuchangia kuhusu MWanakijiji sababu yeye ni Mtanzania na nalindwa na ibara ya 19 ya katika ya Nchi yangu!

  angalia makala hizo hapoa juu zinazomhusu Mwanakijiji

  WKani Lidya Ngosha alikuwa Mpenzi wangu mpaka nianze kumchukia Mwanakijiji??sina chuki na Mzee Wakijijini
   
 17. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Watu wengine kwa kupindisha mada tu???, sasa hii thread ni ya Michuzi, Mwanakiji kaingiaje?
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Angalia usije batizwa jina la Mwanakijiji....jamaa sijui katoka wapi huyu
   
 19. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Na nikishajua kuwa Mkjj ndiye Lula then itanisaidia nini mimi? Kama mwenyewe ameamua kutumia nick ya Mkjj then si ana choice ya kutumia jina lolote analotaka?

  Hizi ni argument za kitoto sana, ina maana Barack Obama na yule Governor mweusi wa Masachuseti wanapotumia maneno ya kufanana kwenye hotuba zao basi hiyo inamfanya Obama awe Duvaki?

  Nani amekutisha wewe hapa? kati ya watu ambao ninawahofia hapa JF wewe sio mmoja wao maana uko so paranoid so keep exploding

  Mpaka sasa najiuliza kuwa ni sababu gani imekupelekea ubake thread iliiyoanzishwa kwa ajili ya michuzi na ukaigeuza kuwa anti Mkjj?!?!?!
   
 20. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hili ni swali gumu sana mkuu lakini kama alivyosema hapo juu Ushirombo, inaonekana ukimtetea Mwanakijiji hapa JF dhidi ya watu kibao ambao wana chuki nyingi dhidi yake basi unabatizwa jina la Mwanakijiji!
   
Loading...