MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, aliyekuwa akitumia ID ya Quimica. alikuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, amefariki usiku wa kuamkia leo.

"Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana lihimidiwe." (Ayubu 1:21)

RIP
Pole nyote mlioguswa na msiba huu, tunamuombea apumzike kwa amani 🙏
 
Kinachouma kwenye kifo ni ile mtu hutomuona tena.
 
Back
Top Bottom