MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

Tunamuombea kwa Mungu amlaze mahali pema,ila ninashauri ikitokea member amefariki basi waliokaribu naye watuwekee hata picha maana humu wengi hatujuani kwa sura.
Kama member wakati wa uhai wake alikua analinda privacy yake,basi privacy yake iendelee kuheshimiwa na kulindwa hata baada ya kufa kwake.
 
Uzi wa mwisho wa Marehemu.

 

Dah alileta habari ya ndugulile leo yake
 
Uzi wa mwisho wa Marehemu.

Familia ya mashabiki wa soka imepata pigo, r.i.p legend wa kabumbu, waislamu tunasema inna lillah wa inna illah rajiun
 
Back
Top Bottom