MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, aliyekuwa akitumia ID ya Quimica. alikuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, amefariki usiku wa kuamkia leo.

"Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana lihimidiwe." (Ayubu 1:21)

RIP
M/mungu amrehemu!

Sie wengine tukifa hamna atakaejua humu! maana simu zetu full password no ku share na watoto Wala mke,Wala rafiki hakuna anaejua ID yako ya JF........
 
M/mungu amrehemu!

Sie wengine tukifa hamna atakaejua humu! maana simu zetu full password no ku share na watoto Wala mke,Wala rafiki hakuna anaejua ID yako ya JF........
Tupo wengi mkuu,
Kila mtu anaishi maisha aliyo yachagua,watu wajue au wasijue,kufa ni kufa tu,
Sisi tusiojulikana tutapotea ghafla tu.
 
Umejiweka gerezani mwenyewe harafu unalalamika jitoe huko..
Wala sidhan kama ni gerezani! Wana Jf hawatakiwi wakujue Hadi msiba wako! Wakija msibani wataanza kidiskass mwana jf mwenzetu kumbe alikuwa anaishi banda la mbavu za mbwa,mara this,mara that! na wakikuta ulikuwa richest bado watasema kumbe JF tulikuwa na Tajiri la freemason!

Better to be unknown person...
 
Sawa sawa mimi nimekutana na wana JF wengi sana pamoja na kuwa na banda la mbavu za punda..
 
Back
Top Bottom