Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,868
- 6,824
Pumzika shujaa
Hawana shida na wamekua ndugu kabisa mpaka id zao za humu sizikumbuki ndio maana mimi situkani unaweza kutukana kumbe ni Ushimen harafu ana picha ya mbavu za punda..Hawajakuanzishia Uzi humu! au wanasubiria Hadi ung'ate shuka wakusimange.
Hivi hili neno halinaga Kiswahili chake?Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun
jamaa alibeti kwa agentina akapigwa riepFamilia ya mashabiki wa soka imepata pigo, r.i.p legend wa kabumbu, waislamu tunasema inna lillah wa inna illah rajiun
Heshimu privacy za watu....aijalishi akiwa mzima au mfuKwakua mlio karibu mlikua mnamjua basi mngetuekea ata picha,majina yake halisi,ikiwezekana wasifu wake kama upo.
Mbona hujauliza kama Rest in peace haina kiswahili chake? coz wengi tu wameandika Rest In Peace R.I.PHivi hili neno halinaga Kiswahili chake?
Mkuu usiseme hivo , privacy ya mtu ni muhimu ata akifariki kuna circle ya watu wake wa karibu ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa akiwashirikisha kwenye nyuzi anonymously.Jina lake halisi alikuwa nani alikuwa wapi,anafanya kazi gani ili tujumuike sote kwa pamoja katika msiba? Uzuri ashafariki kwa hiyo wale wasiojulikana hawawezi kumnyakua. Riep!
Non Sequitur Fallacy.Mbona hujauliza kama Rest in peace haina kiswahili chake? coz wengi tu wameandika Rest In Peace R.I.P
Dahjamaa alibeti kwa agentina akapigwa riep
Watakaoathirika ni watu wake wakaribu, haya mambo ya kuomba picha za marehemu hayajakaa poa.Mkuu usiseme hivo , privacy ya mtu ni muhimu ata akifariki kuna circle ya watu wake wa karibu ambao kwa namna moja ama nyingine alikuwa akiwashirikisha kwenye nyuzi anonymously.
Uki expose ID ya mtu haishii kwake tu, unakuwa umefungua mlango wa dots zingine.
Just answer my question.Non Sequitur Fallacy.