Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
mzizimkavu.
Nyanidume, Mohammed Said, MziziMkavu, kahtan, bila kujisahau mimi mwenyewe... siwezi kuwataja wote ila memba wote wa JF nawakubali.
Ninawapendeni nyote njoo kwenye jukwaa la Jf Doctor niwapeni dawa zangu mpya za kutibu vidonda vya tumbo,Dawa za ugonjwa Kensa,Dawa za ugonjwa malaria na Vitamini mwilini asanteni sana mubarikiwe mbinguni ameen.MziziMkavu anatajwa kila kona
Haya sasa mmeshajuana' what next?
Uwaandalie na tuzo mwisho wa mwaka.
ha ha ha ha!
Kwema kabisa mkuu.
Auntie kumbe unanizimia eeh?
My dear... l miss you soooooooo much, hu hali gani?
halafu mnatajana kwa ushostito siyooo...???Ntaje bas nami nikutaje....
Kilichokufanya uwataje hao nakijuwa....
Mkali wao ni Heaven on Earth uuwwiii... pia kuna sumbody FaizaFoxy napenda majibu yake, ukimuanza ummalize..
Kuna Mzizi Mkavu, Kilanga. Pasco, daaah busara sana hawa guys.
ila nisiwasahau Team_Weka_Picha aiseee. Hahaha..
pleasure is mine dear!!
Interaction makes meaning to those who interacts and they can change those attached meanings as they keep interacting!!!!!!
Failure to attach meaning is an indicator that you are not among them...suit youself! !!!!!!!!
Acha zako bana, kwenye hiyo list yako mi lazima ningekosekana tu...
we huwezi kukosekana hata.........
Kilichokufanya uwataje hao nakijuwa....
Jf diva
halafu mnatajana kwa ushostito siyooo...???