nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Niko poa mrembo.
Ulipotelea wapi wewe?
Mie nipo kama sipooooooooooooo, we ndo sikuonagiiiiii...
Niko poa mrembo.
Ulipotelea wapi wewe?
Mbona mimi hakuna alienitaja? Au mchango wangu hauonekani?
hahaaa kama ni mwelewa he will surely understand this
Interaction makes meaning to those who interacts and they can change those attached meanings as they keep interacting!!!!!!
Failure to attach meaning is an indicator that you are not among them...suit youself! !!!!!!!!
hahaaa kama ni mwelewa he will surely understand this
Naona MMU na Chit-Chat wanapeana mashavu tu.
teh teh teh
nyumbakubwa-huyu anaongea kama mwanamke kamili aliyekamilika,wanaume wote wangependa kuwa na mke wa mtizamo wake,
gezaulole-anavyowakimbiza wakenya na majivuno yao utampenda,
nyani ngabu na kiranga-hawa ni mabingwa wa kusimamia misimamo yao,hawatikisiki ktk kutetea hoja zao na wanachokiamini,
kaunga na ashadii-wadada wenye staha,wana busara za kweli na hakika,kuna wakati natamani ningekuwa nafahamiana nao in the real world sio ki-jf,
asprin-anapenda sana kukagua vibinti vinapoingia jf,siku hizi ananichekesha sana na mikwara yake ya kubadili dini,hata hapa anaweza kuja na kusema nisingemtaja angebadili dini!lol,
the boss-huyu jamaa yeye ni mfalme wa kuongea maneno ambayo wanawake wanapenda kusikia,huyu jamaa ktk dunia ya kweli atakuwa hataree sana kwa wadada,
nzi-shabiki nguli wa man utd,watu wote watakimbia uzi wa man utd yeye atabaki pale daima
emt-jamaa ukisoma hoja zake utafikiri unasoma kitabu cha kitaaluma,nakukubali sana bro
mzizimkavu-amejaa maarifa mengimengi ya kila aina kila pande
Chris Lukosi, Ritz, Msalani, FaizaFox, Lizaboni, Simiyu Yetu, utaifakwanza, hugochaves, SR Magdalena, Sixgates, betlehem,