Naomba Mnielekeze Ku-hide some Members Nisione POST na COMMENTS Zao.

Kashai

Member
Joined
May 12, 2024
Posts
43
Reaction score
96
Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani.,
Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide Nisizione Tena Post Zao.
Watu Kama Ttlaatlaa 🐒 N.k Posts Zao Zinanitiaga Hasira Sana *****....
 
Unawaweka kwenye ignore list
 
ignore list ya jf ina poor design. ( ufupi unapo mu ignore mtu haitakiwi uone chochote kuhusu huyo mtu wala yeye asione chochote kuhusu wewe )
Yeah hili jukwaa tunalitumia lakini bado lina madhaifu madogo madogo mengi sana. Una ignore mtu ila bado unaletewa show ignored content like what the fuckkkkkk. Kule pm ndo matatizo tupu.!!
 
Yeah hili jukwaa tunalitumia lakini bado lina madhaifu madogo madogo mengi sana. Una ignore mtu ila bado unaletea show ignored content like what the fuckkkkkk. Kule pm ndo matatizo tupu.!!
Hiyo ni poor design, kwenye hicho kipengele tena very poor. Unakuta hara ulie mu ignore bado ana like post zako na unaona contents zake ina zinakuwa kama censored kitu ambacho ni cha hovyo aitakiwi
 
Unaweza kukuta na wewe hua unapiga kelele kutaka demokrasia na uhuru wa kutoa maoni,

Watu kama wewe siku mkija kupata uongozi ni hatari sana,utawafunga midomo wale wote watakao ongea vitu ambavyo wewe havikupendezi au havikufurahishi.
Mkuu kuna watu humu wanaandika upupu mpaka unatamani angekua karibu au laiti ungekua unajua alipo umfuate ukamfanye pyu pyu pyu mambo yasiwe mengi
 
Mkuu, maana ya demokrasia ni pamoja na kukubali uwepo wa maoni usiyoyapenda. Kwenye majukwaa ya kijamii kama JF, hauhitaji kutumia nguvu nyingi kupambana na mitazamo tofauti. Suluhisho la kistaarabu na la kiwango cha juu ni kutumia kipengele cha Ignore List. Waweke humo wale wote ambao maandiko yao hayaendani na viwango vyako, kisha maisha na mijadala mingine iendelee kwa amani.
 
Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani.,
Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide Nisizione Tena Post Zao.
Watu Kama Ttlaatlaa 🐒 N.k Posts Zao Zinanitiaga Hasira Sana *****....
ok.🐒
 
Back
Top Bottom