OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
asepe zake huko nahisi hajatajwa ndio maana
unajua kuna ile ya kusifia kwamba fulani ye huwa anajitahidi comments mada zake na it is understandable
Kabisaaa kwa nini kukwepa evaluation???!!
Hata maofisin si tunafanyiwa hii kitu ,hata mitaani tuko ranked fulani ,mcheshi,hawezi kukupita na gari,jamaa ukimtokea na shida hakubwagi na kama hayo ni sehemu ya maisha mtu akubali au akatae!!!!!