sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Ninashukuru sana Mkuu Bujibuji.. Umesaidia kupafanya JF kimbilio na sehemu ya burudani..
Last edited by a moderator:
wapi anapatikana Karucee na kibwagizo chake chake cha ........mae
Hahaa. Asante RG. Nitaweka avatar usijali.
we niliona tayari una bunduki hapo, nikaona nianze na mamaa waku ROTFLMFAO.Weeh kwanza nimekununia. Mie ndo hujantaftia avatar eeh. Poa tu
kuna member mmoja; waziri, alijitambulisha wakati wa kujiunga lakini sijamsoma tena mpaka leo. pamoja na kuwa kuna inshu nyingi sana humu zinamuhusu.
Guess who!
hakuna alienitaja?
Sent from my nokia lumia using tapatalk
wana jf naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa
ni wengi brother nikisema niwataje the list will be endless
We usinitanie na hicho kimalizio chako... Hivi umenisahau au sidizevu...??? We piga makavu laivu ili pa kurekebisha parekebishwe ili next time natia timu kwenye list hata kama kule kwenye uzushi.Business & Entrepreneurship = Money Stunna, King'asti
Law = Wanasheria wasomi wa Tanzania
Religion = Kahtaan, Max Shimba, Pasco, Nyakageni, Fadhili Paulo, Schiendler
Health = Dr Riwa, Mzizi Mkavu
Language = Roulette, Kiranga
ICT/Technology = chief Mkwawa, stephano mtangoo, Young Master.
Counseling = AshaDii, Kauga, Mwanajamiione, Nyumba kubwa, Nyamayao, First lady, gfsonwin, Zion daughter, Lilly
Banyamulenge = Mukamasimba, Koba
Critical thinkers/Think tanks = Kiranga (wa Msata), NyaniNgabu, EMT, Geza Ulole, Sherrif arpaio, Kitila Mkumbo, Mohammed Said
CCM die hards piga ua wao ni magamba = Ritz, Simiyu yetu, Lizaboni, Rejao, Chris Lukosi, masopakyindi, faiza fox
CDM die hards = Nicholas, Yerico Nyerere, Ben Saanane, Candid Scope, Mohammed Mtoi, Mwita Maranya
Arsenal Die hards = Balantanda, Sizinga, Genekai, Katavi, ngwamapalala
ManU die hards = Ab Tichaz
Chelsea die hards = Ntuzu, Sanda Matuta, Mentor
Liverpool Die hards = Mbu
Soccer pundits = Gang Chomba, Maurinho
Kenyans who will always bash and hate Tanzania no matter what = Mpendwa1, Lawaim, Waltham, Kaborer, Dhuks, Mwathai
Ubebaji maboksi = Le Mutuz, Nyani Ngabu, BAK
Mkongwe wa JF = Mzee Mwanakijiji
Muke ya muzungu/Obama Hater = Natalia
Jf Divas = Lara1, Evelyn Salt, Karucee, heaven on earth, Chocs, badiebey,
Mapishi = Farkhina, AshaDii
Alwatans = Mwanakijiji, The Finest, The Boss, Safari ni safari, Kichuguu, Sikonge, Nguruvi, EMT, Kobelo, Joka kuu, Rev Kishoka, Deo Corleone, Dingswayo, Kongosho, Olesaidimu, Rose Marie
....................Mwenye kuongeza na aongeze................Samahani wote niliowasahau
1.Mzizi Mkavu
2.Utafiti
3.Kikwajuni One
4.Mahmood
5.Zanzibar spices
Nawe umo? Alokutaja kilaza kweli
teh....Nawe umo? Alokutaja kilaza kweli