wana jf naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa
..................ila kuna haka kajamaa watu8, kweli wapo nane maana kila sehemu kanafiti, sijajua tu kule jukwaa la wakubwa na dini kama huwa kanaingia hahahaaah!!
Hahahah haka kajamaa huwa kanafika jukwaa la dini, ila hilo la wakubwa hakapendi kabisa kufika huko.
Kwema mkuu?
Long live mabawaba wote wa JF including you bro
Hapa naona kuna ile system NITAJE nami NIKUTAJE.
Mh! Huyu jamaa ni shemeji yangu lakini akishakula nyama ya yule mdudu kaa nae mbali hua hachagui neno.
Hapa naona kuna ile system NITAJE nami NIKUTAJE.
Leo naona umeongea point kidogo.
Toka nimekushauri uache kusoma madrasa na ukajiandikishe QT mabadiliko kidogo yameanza kujionesha.!
Halleluyaaaaa!
**$%&*+6+&#@@!!!
Yaani shemeji tatizo lako ndo hilo,
Ukiona kichaka tu wataka kunya.
unatafuta bwana??
Umewasahau military experts/tacticians General Moshe dayan na Mossad007