MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

WanaJF naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa.

Binafsi napenda hoja za wana JF wote, wenye kuandika vitu vya maana na wenye kumwaga pumba na mizaha. Wote wanatia uonjo fulani kuifanya JF iwe ilivyo; sehemu ya kufurahi, kuchukia, kucheka, kununa, kutukana, kupenda, kulia nk!
 
Chris Lukosi, Ritz, Msalani, FaizaFox, Lizaboni, Simiyu Yetu, utaifakwanza, hugochaves, SR Magdalena, Sixgates, betlehem,

Tumeambiwa bila kujali itikadi!!! Sasa wewe mkuu wangu Chabruma umeweka tu wale wa upande wako!!! Umemsau Chama.
 
Pamoja na kukubali kuwa kila mmoja wetu ni mzuri kwa upande wake wa hoja, mimi nakikubali mwenyewe Zogwale kuwa post zangu ni makini!!! Ha ha ha!!! Charity starts...... malizia!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mimi simo duh poa ngoja nijitahidi ili na mimi niwepo next time.
 
ahsanteni kwa kutambua michango yangu katika jamii na Mimi pia niwashukuru wanna jamii forum wote jukumu letu ni endelevu katika jamii inayotuzunguka. tuwe mfano Wa jamii na tujitahidi kuleta mabadiliko ya msingi na tupunguze jazba na kejeli jamii itashindwa kututofautisha .tukumbuke hapa ni kwa the great thinker .pamoja sana wakuu
 
Back
Top Bottom