Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,668
- 7,051
Katiwa mboroni??
Ndio kituo gani???
Katiwa mboroni??
[h=2]Breaking News: Mwanajeshi aliyepiga Picha na Lema Mboroni[/h]Mbona kuna majina ya kichaga yanafanana na hilo?
yuko kituo gani?
yuko kituo gani?
Akimaliza kesi agombee uenyekiti wa mtaa wa mererani kwa ticketi ya. Chadema tutampa kura zetummmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh.....?????????????????????
ukimaliza mafunzo ya jeshi magwanda siunaondoka nayo
Anything full of trush is either dustbin or trush bin.....choose which one is your head.
Ndio kituo gani???
Mkuu Nduka,una maanisha Kamanda Lema ni jambazi? Mkuu elewa kuna maisha baada ya kutumiwa kwenye hizi propaganda zenu,any way endelea kupokea posho zako kutoka Lumumba lakini mwisho wake hautakuwa mzuri.Lema bana kamsnitch jambazi mwenzake.
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???
Hizo zilkuwa ni enzi za JKT ndio ulikuwa unaruhusiwa kuondoka na magwanda, sio JWTZ mkuu!
amekosea kuandika, maana imebadilika kabisa imekuwa "penis"
Mkuu yani nimecheka mpaka tumbo linauma du...!
Hebu angalia usije ukapata ban.