kwa kwei namshangaa sana mtu anayeona swala la EPA ni historia, yeye ndio historia, na ni vizuri na yeye pia tukamuomba anyamaze kwakuwa si mmojawetu, na hivyo ndivyo watu hawa na nduguze wa CCM wanavyotaka tuamini, tuwe wajinga na waendelee kutumia upumbavu wetu kama mtaji wao, jamani sisi wengine tumeshakataa kutumika. Napenda kumkatisha tamaa kwamba EPA bado ni moto na hautasimika wameuwasha watauzima, watapelekwa tu mahakamani hakuna kukwepa, na JK anajua hilo na ndio maana haachi kuanguka bila kuguswa, keshaguswa his innermost part. Wewe umeona wapi watu wanakula mpaka hela za barabara za kijijijini kwao, can you imagine? hiyo inatofauti gani na mkulima wa muumini mwinjuma aliyekula mbegu anataka kutuua njaa, sasa wanaua wakwere wenzao ndio maana hawaoni tabu kupeleka kodi yetu kwenye kampeni ka kupitia akaunti ya familia, hayo mabango mabaya yasiyo na concept na yenye the poorest rejected quality in a normal market, wamepeleka kazi ufaransa sijui china (tutajua tu ni wapi) na kuwadhulumu vijana wote wa kariakoo, gerezani etc biashara waliyoizoea, ya hela zao wenyewe. Waende waende, watangulie kama mwalimu, hatuwahitaji