Mwanahalisi leo latoboa ile ya ndani kabisa ya EPA!

Hivi unafikiri kweli wale maelfu waliojazana Jangwani kwenye mkutano wa CCM hawajui ufisadi unaofanyika nchini? Really..?

Rome was not built in a single day, na askari wa vita hakati tamaa, chachu za ki- fikra huchochea wanaokandamizwa kuchukua maamuzi magumu, inaweza hata kuchukua karne. So usitegemee kwa jamii ambayo imepigwa ganzi kuamka na kudai haki kwa kasi ya mwangaza . Hata Kenya pamoja na ungangari wao imewachukua zaidi ya miaka 30, kubadili katiba ya kinyonyaji.Na tungoje basi, swali la muhimu ni mimi na wewe na wengine tunafanya nini? kukaa mbele ya monitor ya computer( using fictitious names) na kuandika tu? je hiyo inatosha peke yake mzee?
 
siku zao zinahesabika,watanzania sio wale wa miaka ya 90..ngoja waone uchaguzi wa mwaka huu,pengine watajifunza..
 
Ndio maana leo (Ijumaa) halikuwapo mtaani huku Moshi? Mafisadi watakuwa wameyanunua yasifike mikoani, tena kule kule kiwandani kwa printers... KAZI IPO!

Tutawabana hadi pua ziachane na nyuso zao za KIFISI!
 
mwanahalisi inabidi wairudie hii habari tena na tena na tena na tena, na waongeze wagawaji ili ujumbe uwafikie wengi
 
Hivi unafikiri kweli wale maelfu waliojazana Jangwani kwenye mkutano wa CCM hawajui ufisadi unaofanyika nchini? Really..?

Wanajua sana kwamba mambo ni mabaya. Ila nafikiri ni watu wenye imani kubwa sana na maneno mazuri yenye uwezo wa kumtoa nyoka pangoni. Kama umaskini basi ni wote tunaathirika. Sasa sielewi ni kwanini ukweli unaonekana uzushi miongoni mwa watu wengi.
 
Back
Top Bottom