Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

ana kuona udindishi.mpe siku moja ili haka wambie watoto kuwa yule ni mwanaume
 
Inawezekana mkuu una wowowo ndo maana ulipowategea mgongo watoto walikuchunguzaaa wakahitimisha kwamba hilo wowowo ni la mwanamke siyo la mwanaume!
 
Sometime watoto hata watu wazima hudhani mwanaume handsome alitakiwa awe msichana, nahisi utakuwa hansome hatari!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji14] [emoji1] [emoji1] sina la kusema
 
Mkuu unge apply knowledge ya Operant Conditioning Theory ambayo imekuwa

developed by American Psychologist B. F. Skinner

Ww apo ulichokifanya ni negative punishment bora ungetumia Positive Punishment ili jambo hilo lisijekujirudia tena Darasani Uamuzi huo ulioufanya upande wangu naona nimakosa hapo ilikuwa inaitajika Adhabu alafu ndo ije hiyo Counselling
 
Reactions: B40
Mkuu kama umesoma stages za mental development ,za mtaalamu Sigmund Freud ,ndizo zimenifanya nifanye hivyo nilivyofanya.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wa kiume wanaopenda vijitabia vya kike kuanzia ndani hadi nje. Ona sasa hadi watoto wamegundua hilo....je kwa wakubwa kuna kilichojificha? Kizazi hiki kazi ipo.
POLE
 
Reactions: B40
Mkuu kama umesoma stages za mental development ,za mtaalamu Sigmund Freud ,ndizo zimenifanya nifanye hivyo nilivyofanya.
Ndiyo nmezisoma mkuu ila hapo bado utakuwa upo kwenye makosa Kumbuka

Social Learning Theory ya Albert Bandura kwamba kawaida watu hujifunza kupitia Kuiga "Imitation" kwaiyo usishangae siku nyingine mtoto mwingine akakutusi tena

Ushauri wangu

Ilikupasa kama Mwalimu Uchukue Action dhidi yao ili watoto wasijekurudia jambo hilo na wengine wasijekuiga

Kitu Chengine anapokuwa na watoto darasani au Nche ya Darasa epuka kitukinachitwa

Zero Distance Relationship

Baina yako wewe na wanafunzi jitaidi kuwa Serious kiasi chake !!
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wa kiume wanaopenda vijitabia vya kike kuanzia ndani hadi nje. Ona sasa hadi watoto wamegundua hilo....je kwa wakubwa kuna kilichojificha? Kizazi hiki kazi ipo.
POLE
Am gentleman more than you may predict
 
Its just kids...ignore them...if u make a big deal out of it, a big deal it will become.
 
Reactions: B40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…