Naudhika sana nawatu wapumbavu kama wewe munao geuza matatizo yetu kua mitaji yenu ya kisiasa. Tukio hili lina usika vipi na kauli ya Mh. Waziri mkuu? Tusilete mizaha kwenye matukio yakusikitisha kama haya.Kauli ya Mizengo Pinda aliyoitoa kuwapa ruksa POLICCM ndio imeanza kutekelezwa rasmi sasa . Watawala wa Tanzania ndio wanachochea MIGOGORO nchini wanapaswa kulaaniwa kwa nguvu zetu zote
Naudhika sana nawatu wapumbavu kama wewe munao geuza matatizo yetu kua mitaji yenu ya kisiasa. Tukio hili lina usika vipi na kauli ya Mh. Waziri mkuu? Tusilete mizaha kwenye matukio yakusikitisha kama haya.
Pole sana Mwanafunzi Mwenyezi amponye ampe afya ,Kwa kauli ya PINDA(Pm) sijui jamaa alikuwa mbishi hakutii amri" akapigwa tu"na wakaidi wapigwe tu-lakini na hao vibaka wameshindwa kwenda kuvunja benk wanakuja kwa wachumia njaa wenzao?si kuna kituo cha polisi pale chuo utawala hawakufika?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums