Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
PINDA asipodhibitiwa ataleta maafa makubwa nchi hii.
 
As long as wamechukua Simu, Basi hao ni Vibaka na sio Majambazi. Na Naamini wakiwataka wanawapata hata asubuhi hii.

Mbili. Kwa vyovyote wana number za simu hao majambazi, Uchunguzi ni rahisi hapo, ni swala la kutafuta number zote za simu ziizo kuwapo mda wa saa nane wa tukio maeneo hayo, na pia kupata zile zilizokuwepo baada ya Tukio, Zitakazo kuwapo hazipo baada ya Tukio ni sample tosha kuwapata hao Vibaka.

Tatizo polisi wenyewe ni Majambazi na hilo la wizi wa Laptop kwa Dar ni Janga la Kitaifa inajulikana kabisa ni wakina nani wenye Mtandao huo wa wizi wa Laptop.

Jeshi limeoza. Mti anashindwa kumchunguza Mkewe unategemea nini?
 
"Wakikaidi wapigwe tu LIWALO NA LIWE" kama kapiga kitu cha R chuga!
 
Huenda ni hao hao polisi.Walikuwa wanatekeleza kauli ya MR.CROCODILE FACE aliyoitoa bungeni. Walihisi ni MNYIKA na wafuasi wa CHADEMA wanapanga kuiteka ikulu. Pole kwa mhanga.Watanzania tuwe makini sana mahali popote tuwapo na wakati wowote maana TANZANIA si salama tena.
 
Wapigeni tu, hali itakuwa hivi
 

Attachments

  • Polis.jpg
    Polis.jpg
    205 KB · Views: 197
Poleni wadogo zangu,,,na mungu amlinde na kumponya aliyejeruhiwa,,

polisi hao hawana maana
 
Acha uongo watu wameliwa sana na simba vijiji vya ujamaa usichanganye mambo.

Ritz, nadhani hujamuelewa King'asti. Anachoongelea yeye ni mazingira ya UDSM na si vijiji vya ujamaa unavyovisema wewe. Au UDSM napo vilikuwepo hivyo vijiji? Angalia usijikute wewe ndo unakuwa muongo sasa!
 
Last edited by a moderator:
Pole mwanafunzi.....
Nchi hii bana,yan kompyuta ndo unampiga risasi sasa magari naona watatumia mabomu.
 
Huenda ni hao hao polisi.Walikuwa wanatekeleza kauli ya MR.CROCODILE FACE aliyoitoa bungeni. Walihisi ni MNYIKA na wafuasi wa CHADEMA wanapanga kuiteka ikulu. Pole kwa mhanga.Watanzania tuwe makini sana mahali popote tuwapo na wakati wowote maana TANZANIA si salama tena.

mkuu kila jambo usidhani ni siasa,hatutafika kiongozi
 
Hii pia ni sababu ya RuHUSA ya WAZIRI MKUU BUNGENI Jana? Sababu Polisi hawana WOGA wowote... Hakuna Mashitaka Lakini Hao Mawaziri na Wabunge wanao hawasomi NCHINI na Pia Hawafanyi kazi NCHINI

Natumai WANANCHI nao RUKSA kuua POLICCM, WAZIRI MKUU, MAWAZIRI, WAKUU wa MIKOA na maDC kama alivoagiza WAZIRI MKUU Pinda. kama hatuna bunduki na mabomu tutumie hata sumu ya panya. "Ulami ulami tu"
 
My condolence jipeni moyo ulio mkuu ninachojua kwa tanzania ya sasa no one wil fit for ya rit, no one z responsibo for ya security,
No one is responsib for ya wel being spiritual or physical
Open ya eyez guyz use ya mind be smart
Wakonitenda mabaya nawapa time i l be goin after em
I am da panishment from God
 
Mwacheni Pinda aitwe Pinda, jamaa inavuta bangi inapinda, ikipinda inaropoka bungeni. Bangi ikiisha inaanza kulia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom