Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Haya masihara ya kujiweka kamba shingoni hayafahi kabisaaa, kama mtu ana tatizo ni bora kuongea kwa mtu anayemuamini endapo kifua chake hakina uwezo wa kubeba mambo mazito.
Rest in peace dear.
 
hata kama anasomeshwa na kijiji ndio kujiua kuna maamuzi magumu
 
Nadhani ni mkusanyiko wa mambo mengi na kufeli kukiwemo.ni muhim kuwa na imani kwamba A ikishindwa B itasaidia kuliko kuamini A peke yake.
 
Kama Kweli, Kifo chake kinahusika na kudisco kwake, Basi ELIMU YETU INA MAPUNGUFU...

R.I.P
 
labda kuwepo sababu nyingine, mtu anayejinyonga kwa sababu ya matokeo namuona chizi sana.. Tokeo? Wangapi wanafeli afu wanajipanga wanasimama upya.
 
kufeli masters itakuwa sababu ya nyongeza tu anajambo jingine huyo lililomfanya ajinyonge, wangapi kwenye halmashauri zetu wanaendelea kutufisadi wakiwa na elimu duni? Degree yake ilimtosha kuishi impendezavyo mungu
 
Kuna wakati nilimkuta amekaimu u DED alinisaidia sana ishu moja.Dah!
 
Back
Top Bottom