Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Kimsingi lazima tujiulize hay maswali je huko kazi I alikuwa hajapiga hela,? Je mambo yake ya kifamilia yalikuwaje? Je huko shule alikuwa na mahusiano gani na wanafunzi wenzake na walimu wake.ukipata majibu yake ndo tuhusishe na kujichukulia maamuzi haya mikononi mwake
 
Lol noma sana ila atakuwa alikuwa na yake tu!
Kama na kazi alikuwa nayo kabisa?
.
Mi ndo mana si shangaagi watu wakiwa wana post pumba pumba tu humu mana nao huwa na mawazo na hasira zao binafsi! Huko kwao
 
huyu alikuwa anasoma ili apate cheti tu, pole zake.
 
duh polen. wafiwa wanachuo wenzngu tusifanyen ivo jaman kufel c o mwsho wa mafanikio
 
Mwanafunzi wa masters chuo Kikuu mzumbe main campus amejinyonga mpaka kufa.habari za mapema zinasema kuwa mwanafunzi huyo ambaye alikuwa anasoma uchumi amejinyonga baada ya matokeo kuonesha kuwa amedisco (matokeo yaliachiwa Jana) taarifa zaidi nitaendelea kufuatilia ila kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Njombe.pole kwa familia ya marehemu na wanajumuia wote wa mzumbe.

maamuz magumu haya isitoshe alikuwa na degree yake
 
Kuna wakati nilimkuta amekaimu u DED alinisaidia sana ishu moja.Dah!
Huyu lazima ajinyonge maana alikuwa anatafuta masters akiwa na ndoto za ku-fight kupata U-DED kamili. Halmashauri nyingi zimeweka kigezo cha masters ndo u-qualify kuwa mkuu wa idara. Hivyo dogo idara ilikua inamtoroka hiyo!!
 
Baada ya kufuatilia nimepata habari jamaa hakujinyonga bali alikunywa sumu akiwa akiwa Dodoma.Sababu kila mtu anasema lake
 
Amerogwa na wafanyakazi wenzie, hasa hasa aliyekuwa ananyemelea cheo chake. Sa hivi watu wanakula bata kwa mrija kazi imekamilika.
 
Mental illness is on the rise in Academia. Hili ndilo suala LA msingi.
 
Ukiwa na ndugu au rafiki angalia hizi signs: hopelessness, withdrawal, excessive sadness, self harmful behavior and threatening suicide. Ni wachache sana ambao wanaamkaga na kuamua kujiua.
 
Eh mungu baba tuepushe na hizi roho za mauti za kutumiwa! Polen wafiwa
 
Masters jamani ni muhimu kuliko roho? RIP!
 
Back
Top Bottom