Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Masters anajinyonga.????????

Mkuu huyo si wa kwanza, 2013 kuna hbr ya masters of medicine bila shaka ilikuwa kcmc alijimaliza for the same reason.
kila mtu ana threshold yake tofaut ktk ku absorb stress, na wakat mwingne watu huamini kuwa wameonewa
 
Kuna watu nawajua wameishia darasa la 7 wakajiendeleza english course.sasa hivi wameoa na wana kazi zao nzuri na maisha yao mazuri sana .

Uyo aliyejinyonga alale anapostahili

Umeshaambiwa kwao marehemu ni Njombe! Hujapata connection mkuu?
 
Elimu ni maarifa, mshikaji pepo la mauti lilimfika, poleni wafiwa wote
 
at least ingekuwa kafeli 1st degree ningemuelewa,otherwise ni pepo la mauti.

Nakubariana nawe kabisa, mtu ana ajira yake anajinyonga kwa kufeli ili iweje wakati maisha yanaendelea? Labda aliaga kazini kwa mbwembwe akaona aibu jinsi ya kurudi lkn uamuzi wake sio wa busara, angeomba chuo kingine kutimiza marengo yake, hii ni dalili ya umimi hajali familia yake itaumia kiasi gani anajifikilia yeye tu. Prf Peter Msola yule mbunge wa Iringana waziri mstaafu aliwahi kudisco UDISM somo la Prf Nicus Bangu lkn akaenda soma Kenya akafaulu na kuwa DVC wa SUA na akawa bosi wa Prf Bangu aliyemdisco hawali maisha yakaendelea kama kawaida. Nadhani ahadi ilifika na alazwe alipopaandaa.
 
Mkuu huyo si wa kwanza, 2013 kuna hbr ya masters of medicine bila shaka ilikuwa kcmc alijimaliza for the same reason.
kila mtu ana threshold yake tofaut ktk ku absorb stress, na wakat mwingne watu huamini kuwa wameonewa

Sasa kama umeonewa ukijiua ndio unapata haki zako? Bora angemuua huyo muonevu kwanzz asiendelee kuonea wengine ndio nae ajimalize otherwise it doesn't make any sense.
 
Basi mzumbe wana admit wanafunzi wa uzamili vilaza sana

Tatizo elimu imekuwa business... vyuo vina-admit wanafunzi wengi kwa kutaka pesa. Na entry qualifications siku hizi zinawekwa na TCU, ambavyo wamevishusha sana ili kila mTZ apate chance ya kupata elimu. Waifika vyuoni mambo yanawashinda maana maprofesa hawaelewi BRN
 
kama ni wahehe basi ni kawaida yao kujinyonga.lakini maisha yapo hata nje ya elimu.
 
Pole kwa familia yake. He never thought of how much sufferings he would cause to his family. Na propose somo la psychology lianze kufundishwa kwa degree course zote. Hii itasaidia watu kuwa na uwezo wa kuabsorb stresses na mambo mengine.
 
Ukifuatilia utakuta kwao kuna historia ya kujitundika. Maroho yamemtembelea.
 
Maskini, atakuwa alikuwa anajisikia aibu vip akirudi ofisini, unajua mtu umeaga na watu wote ofisin wanajua bosi kaenda kuongeza elimu sasa, na inawezekana aliondoka kwa majivuno kibao, sasa amedisco anaona kwa ofisi kuna aibu kubwa kuwa jamaa ni kilaza. R.I.P

Una define vp neno kilaza? Kwahyo mtu anapofeli ngazi ya masters au PhD ni kilaza? Amepitaje kazi zote kuanzia primary hadi bachelor Leo ndo awe kilaza? Ni pepo la mauti tu, kuna watu wanafeli tangu nursery lkn wapo street kama kawa na life goes on
 
Maskini, atakuwa alikuwa anajisikia aibu vip akirudi ofisini, unajua mtu umeaga na watu wote ofisin wanajua bosi kaenda kuongeza elimu sasa, na inawezekana aliondoka kwa majivuno kibao, sasa amedisco anaona kwa ofisi kuna aibu kubwa kuwa jamaa ni kilaza. R.I.P
Huyo pepo la mauti lilikuwa linamuandama mbona sisi tuna watu kibao ambao wamedisco na wamerudi makazini kama kawaida....
 
sitokaa nijinyonge ....... NASUBIRI MALARIA INATOSHA
 
Back
Top Bottom