Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,609
Reaction score
27,570
Mwanafunzi wa masters chuo Kikuu mzumbe main campus amejinyonga mpaka kufa.habari za mapema zinasema kuwa mwanafunzi huyo ambaye alikuwa anasoma uchumi amejinyonga baada ya matokeo kuonesha kuwa amedisco (matokeo yaliachiwa Jana) taarifa zaidi nitaendelea kufuatilia ila kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Njombe.pole kwa familia ya marehemu na wanajumuia wote wa mzumbe.
 
Kuna watu nawajua wameishia darasa la 7 wakajiendeleza english course.sasa hivi wameoa na wana kazi zao nzuri na maisha yao mazuri sana .

Uyo aliyejinyonga alale anapostahili
 
mwanafunzi wa masters chuo kikuu mzumbe main campus amejinyonga mpaka kufa.habari za mapema zinasema kuwa mwanafunzi huyo ambaye alikuwa anasoma uchumi amejinyonga baada ya matokeo kuonesha kuwa amedisco (matokeo yaliachiwa jana) taarifa zaidi nitaendelea kufuatilia ila kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao njombe.pole kwa familia ya marehemu na wanajumuia wote wa mzumbe.
aise hili suala ni gumu.wapunguze kuweka vigezo vigumu,inawezekana huyu mtu alitegemea kufaulu vizuri lakini yakawa tofauti.
 
Ni kweli kusoma peke yake haimaanishi kufanikiwa ila maisha yamekusanya mengi sana na hivi hatuna utaratibu wa kuongea basi na jingine likiongezeka mtu huona dunia Sio mahali pa kuwepo tena ni zaidi ya huzuni na huruma lakini ndio hivyo waweza rudisha gari au nyumba ila Sio uhai.
 
aise hili suala ni gumu.wapunguze kuweka vigezo vigumu,inawezekana huyu mtu alitegemea kufaulu vizuri lakini yakawa tofauti.

Kupunguza vigezo pale sidhani ni mwanafunzi kukomaa tu.
 
Eeeeh...... pole zake.
Kwani masters ni lazima vile??:what:
 
tafadhali asithubutu kutuuwekea hako kafoto, kanaweza kutoa fundisho kwa wanyalu ambao hawajui jinsi ya kuifunga kamba shingoni ikawa balaa.
Mkuu naye marehemu si Wa huko huko
 
Haya ni mambo ya wahindi huko kwao, mwanafunzi akifeli au hajaleta matokeo mazuri basi hujinyonga.
 
Wakiume ndugu alikuwa mfanyakazi wa idara ya mipango katika halmashauri ya kondoa.
 
at least ingekuwa kafeli 1st degree ningemuelewa,otherwise ni pepo la mauti.
 
Nafikiri hata hapa yameanza kuenea kwenye vyuo vyetu japo Sio sana tuombe Mungu atuepushe mzenjiboy.#kapicha siwezi weka mkuu.
 
Back
Top Bottom