Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Mwanafunzi ajinyonga Mzumbe.

Mnyakuloko kajinyonga doh!!
NB: If you have a reason to die its better ten times if you were not born

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
poleni wafiwa na wanafunzi wote,ila swali la kufikirisha kwanini ni mwenyeji wa iringa?na kwanini anafanya maamuzi magumu kama haja?ipo shida mahali
 
Sote hapa tunaamini kila mtu atakufa! Ingawa cjui ni wangapi wanajua watakufa lini na Vifo vyao vitasabishwa na nini,,,! so ikiwa hatujui 7bu ya vifo vyetu ila tunajua Tutakufa kwanini wengine wanamlaani huyu ndgu! au kuna anaejua kwamba huyu ndugu kifo chake kingekuwa cha SURUA badala yakujinyonga!
 
Back
Top Bottom