mwenemti
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 309
- 59
tafadhali asithubutu kutuwekea hako kafoto, kanaweza kutoa fundisho kwa wanyalu ambao hawajui jinsi ya kuifunga kamba shingoni ikawa balaa.
kanaalufu ya unyalu hako ndio maana kamejitundika...
tafadhali asithubutu kutuwekea hako kafoto, kanaweza kutoa fundisho kwa wanyalu ambao hawajui jinsi ya kuifunga kamba shingoni ikawa balaa.
Wakiume ndugu alikuwa mfanyakazi wa idara ya mipango katika halmashauri ya kondoa.
Maskini, atakuwa alikuwa anajisikia aibu vip akirudi ofisini, unajua mtu umeaga na watu wote ofisin wanajua bosi kaenda kuongeza elimu sasa, na inawezekana aliondoka kwa majivuno kibao, sasa amedisco anaona kwa ofisi kuna aibu kubwa kuwa jamaa ni kilaza. R.I.P