Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Tena mwambie wazi wazi, kwamba wewe unampatia dudu mamake!kama yeye anaona hiyo sio kazi basi yeye ampe mamake.

Blaza unapenda sana mtelemko kijana atakufanyia kitu mbaya uyo. Alafu Mwenye nyumba akirudi ghafla utafanyaje ? Au hujui kama mtalaka hatohatongozwi? Kachapie mbali dogo anaakili anajuaw unataka kuchukua urithi s?nde.
haha, ni mgeni ha p?.
 
Blaza unapenda sana mtelemko kijana atakufanyia kitu mbaya uyo. Alafu Mwenye nyumba akirudi ghafla utafanyaje ? Au hujui kama mtalaka hatohatongozwi? Kachapie mbali dogo anaakili anajuaw unataka kuchukua urithi s?nde.
haha, ni mgeni ha p?.

kkigalu: sio mimi bro, naona kuna mdau yamemfika.

NB: Shida sio ya huyo mwanaume wala mwanae, shida ni mama.
huwezi kuleta mwanaume ktk nyumba ya mtoto wa kiume mkubwa hivyo, kiafrika hii kitu mwiko.
 
Ukishaowa ndio tutakupa ushauri. Ati sheikh mmhh labda sheikh wa kuvila vizee vya watu.
 
Siku utakayoniona mimi tozi25 na mama yako ndio utajua maana ya kuwa faraha. Pweza wewe
 
Angekuwa kaoa labda kidogo ingeleta mantiki..ila uzini na mama yangu na tena kwenye nyumba yetu AF unataka heshima yangu,labda kama unipumbaze kwa miti shamba ulionayoo.

Hivi huyu jamaa hana mama? Anafurahi kumzini mama wa mtu mbele yake? Ashukuru sana kakutana na kijana mwoga. Ingekuwa kwa washikaji zangu tarime tungekuwa tunaongelea mambo mengine!
 
Ha ha ha inabidi akitoka humo ndani awe kwenye ambulance ataenda kuzindukia ICU

ICU ya nini? Ni straight mortuary!

Yani upo chumbani kitanda kinalia kwichi Kwichi mwanao kakaa sebleni huoni aibu mama??? Ukitoka hapo upo comfortable kabisa??? Chinekeeeeee

Huyu dada sijamuelewa. Hata kwenye ndoa tunawaheshimu sana watoto. Ndiyo maana siwezi kuamini kama kuna mwanamke anaweza kutoa mzigo freely mbele ya watoto wake, tena wa kiume.
 
Hivi huyu jamaa hana mama? Anafurahi kumzini mama wa mtu mbele yake? Ashukuru sana kakutana na kijana mwoga. Ingekuwa kwa washikaji zangu tarime tungekuwa tunaongelea mambo mengine!

Yaani huyu sio mwanaume kabisa na anauaibisha uanaume.mtoto wa kiume unaleta league za kike kwenye nyumba ya aliekuoa na tena na mtoto wake.hivi huyu ana mama kweli ??..unazini na mama ake afu unataka akukenulie meno ndani ya nyumba na tena inabidi aondoke ili amuondolee mawazo kijana mwenzangu
 
ICU ya nini? Ni straight mortuary!



Huyu dada sijamuelewa. Hata kwenye ndoa tunawaheshimu sana watoto. Ndiyo maana siwezi kuamini kama kuna mwanamke anaweza kutoa mzigo freely mbele ya watoto wake, tena wa kiume.

Wapo si unaona Mamndenyi anasema ni sawa
 
Mkuu vipi kwani wewe ndiye mtoto wa huyo mama unayesoma chuo

Ha ha haaaa hapana mkuu ila nilikuwa navuta picha kama ingelikuwa ni Mimi...inauma aisee na hata kama mama yupo single ili si vyema kufanya uzinzi mbele yangu
 
Ndo maana huoni shida kuolewa mwanaume mzima...mungu pishilia mbali isitokee kwa mama yangu. ...I tell u mie ndo ningekuwa mtoto wa huyo mama...hakika ningekung'oa meno kabisa...shukuru dogo ni mstaarabu.
 
Mi ningekua huyo kijana ningemuomba bmkubwa nikuonje.
 
nimeleta uzi jana wa mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje? kuomba ushauri kuhusu huyu kijana ambae naishi na mama yake nyumba moja, na tunaishi na huyu kijana pia mwenye miaka 21, mimi nina 34 na mpenzi wangu ana 51.

Lakini kinyume na matarajio yangu nimetukanwa sana kwenye uzi huo kwamba nimefuata pesa kwa mama huyo, kwamba mimi ni marioo.
Nimesikitishwa sana hivyo naomba kusahihisha.

(1) wakati wanafungua chuo huyu kijana aliombwa na mama yake akakae hostel ili tupate nafasi ya kupumua mle ndani lakini akakataa, lengo la kukataa ni kutaka kutuvurugia mapenzi yetu, na ameapa atayavuruga tu kwa namna yoyote ile.

(2) huyu kijana ana baba yake aliemkimbia mama yake na kwenda kuoa mwanamke mwingine, sasa mama yake nae akiwa na mpenzi kuna ubaya?

Na kwanini basi asiende kuishi kwa baba yake dsm?
Hadi anganganie hapa na kutuletea fujo!
Isitoshe mim ini mkubwa kwake 34 kwa 21 ni tofauti kubwa sana ya umri, mimi sio age mate wake, mnaobeza tofauti hiyo mnanishangaza sana.

(3) ingekua tunazungumzia mwanaume ana hata 80 yrs na binti 18 yrs msingeona ajabu, tena akina dada wangekua wanashabikia kabisa, lakini inapotokea mwanamke ndie mkubwa inakua ajabu
sielewi kwanini mnakua hivyo.

Huyu mwanamke wangu anajiweza kimaisha na ameamua kunisaidia mimi kimaisha kama mpenzi wake ambae nilikua najikongoja kimaisha, kuna ubaya?mbona mwanaume tajiri anapomsaidia binti maskini maisha hamsemi?

Ikiwa kinyume chake ndio mnasema? Wakati kuna thawabu nyingi sana mwanamke akifanya hivyo.nimemvumilia sana huyu kijana na nimefika mwisho, hawezi kunitangaza mimi mtaa mzima na kunidhalilisha kwa ndugu na jamaa, mbona alipotaka kufukuzwa na mama yake mimi niliingilia kati?

Mimi pia ni mafia, nafanya utu tu, sasa utu huo nauvua ngoja tuone sasa na nyinyi wanaume wenzangu humu ndani inakuaje mnashindwa kuniunga mkono na kunipa support kwa jambo hili?

Mnaungana na watoto wa kike kunishambulia badala ya kunishauri njia nzuri ya kutatua hili tatizo.mimi na mpenzi wangu tulitaka kufunga ndoa siku nyingi ili tuweze kuishi kwa amani na upendo lakini kutokana na huyu kijana mama yake anaahirisha kila mara, anajaribu kunivurugia.

Ngoja tutaona, nimechoka sasa.

unaifahamu menopause?
 
Back
Top Bottom