Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Sipati picha! Na watu ambao hawajui ni kuwa hapa ni Swala la Mama kufanya hivyo mbele ya mwanae wa kiume hakika maumivu ni tofauti kabisa na mtu mwingine

Hawa vijana wananichosha kweli kweli. Labda hawajui kuwa tunaongelea biological mother kuliwa mbele ya macho ya mtoto wake, tena wa kiume mwenye 21yrs!
 
You have a career, jikaze usiwe opportunist.madhara ndio hayo kudharauliwa.
 
Ni tatizo kwa kweli hata mm kama ni mama yangu alafu ww umekuja unamchukua bi mother aisee huwezi kukaa home nakuchinja for sure kwanza nikuulize mmefunga ndoa km hujafunga ndoa huyo mwanae mjinga alitakiwa afanye zaidi ya hivo unaonesha nn sasa na unawafunza nn.

Alafu km unampenda ondoka nae hapo waache watoto sio ww ukae hapo alafu unalelewa at least ungekuwa unajiweza ungewaziba mdomo pumbavu sana ww
 
Huna cha kufanya kweli unaingia kwa room na kulala huku mamako tena mzazi anakanyagwa na dogo next door? Hebu kuweni na hisia za kibinadamu basi !

Ukichukulia hasira ambayo obvious kila mwanaume atakuwa hivyo, mtaishia kugawana majengo ya serikali.
Yeye ataenda hospital au mortuary kabisa afu wewe gerezani.
Which one is better here?

Kwenye hili suala jinsia ME ni wakali sbb wanaona maza anakuwa overused at that age na wanahisi si bure ukizingatia mleta Uzi ni herbalist.
Jinsia KE wao ni wakali sbb wanamuona jamaa ni opportunist zaidi lkn issue ya kumgegeda mother kwao isn't a big deal
 
Kumbe hujui sababu? Natamani nikufahamu zaidi kwani hii siyo kawaida kwa mwanamume. Wewe huoni kwamba mtu kumzini mama yako mbele yako ni jambo baya na halivumiliki kwa namna yoyote ile?

Nisingejali hata kama mwisho wa siku ningenyongwa. Afterall mwanamume kuna vitu vikimtokea kifo kinakuwa jambo la kawaida tu.
 
Mbele yako kivipi? Au unamaanisha kuishi nyumba moja?
Kimsingi sikubaliani wala simuungi mkono jamaa kwa namna yoyote ile lakini nahisi na ni kweli kabisa kuwa Mama ndo mwenye makosa.

Tukubali au tukatae lkn mama ndo mwenye makosa.
 
Haya bwana
 
Asha baraka anabonge la jumba la ghorofa kinondoni,alivopata serengeti boy wake kawaacha familia yake humo kaenda kupanga mwananyamala anajilia zake mgegedo huko...sa na ww mwambie huyo mama mkapange mbali...ingawa bado sikuungi mkono kwa kuolewa na mama mwenye umli kiasi hicho
 
Acheni kukariri, maisha hayana formula, mapedeshee wengi wakikwambia walivyotoka kimaisha huwezi amini, msela hana kosa lolote

Huyo kijana atakaa kwa mama yake hadi lini? Akitaka uadui wa milele na mom amfanyie huyo Mshikaji kitu kibaya aone, atafukuzwa na nyumbani kabisa

Tumeambiwa wazi na mleta mada kuwa mama hataki kabisa wakaishi kwingine

Ukiona mama anafanya vitu vya ajabu toka ww ili tukuone ww kidume, kama ukawa kwamba hukubaliani na kinachoendelea nyumbani

Na mama akiona umeondoka atajiuliza sana, atakuona Bonge la mwanaume

21 yrs marekani mtu anajitegemea kabisa, kijana upo chuo na una mkopo kwa miaka yote mitatu. Unashindwa nn kuondoka

Shida mtoto wa kiume upo home unawazia mirathi
 
Kosa la mtoa mada ni nini hapo? Nani alisema kuwa umri fulani anatakiwa aroll na wa umri huu, mbona wanafiki nyie watu?

We ambae sio mnafiki mama ako akileta serengeti boy ndani nyumbani kwenu muishi wote ni sawa kwako?
 
Kama unajisikia vibaya, unafungasha wewe mtoto. Kaanzishe maisha yako. Umri wa miaka 21 unatosha kabisa kuanza kujitegemea. Mama kajitafutia mwenyewe mali zake halafu uanze kumuwekea masharti ya kutumia!!! Hivi huyo mama haruhusiwi kupenda kabisa?? Akipenda basi lazima watoto wake wamchagulie? Tusiangalie upande mmoja, hata huyo mama hatendewi haki na mwanae. Dogo akizidi kusumbua saana na kama mama atamuonea huruma, ampangie sehem.
 
Ha ha ha ha ha hebu ngoja nicheke mie kwa mahesabu ya fasta mtu wa miaka 21 yupo chuo hata kazi hajapata, kwa hiyo ahame nyumbani sijui akaishia jalalani ili ampishe mama ake aishi na kibuzi Chake ndani ndugu hizo akili ni zako? Mama apende salama hata akipenda mtoto wa miaka 10 ni Chaguo lake ndo amlete nyumbani? Huyo buzi ataondoka mwili roho itabaki ndani
 
Kwa hy mamako mzazi mwenye miaka 54 kukanyagwa na kashkaji tena hom kwenu unaona poa tu

Kwa sisi tunaojua thamani ya utu hatuwezi kumaindi, mama si anafikishwa bwana? Wivu kwa mashemeji, wakwe, ni kawaida... Ila kama mtu mzima inabidi ujifunze kutomaindi.

Labda nikuulize, wewe mama yako angekanyagwa na nani tofauti na babako ungefurahi na vifijo na nderemo?
 
Kama unajisikia vibaya, unafungasha wewe mtoto. Kaanzishe maisha yako. Umri wa miaka 21 unatosha kabisa kuanza kujitegemea. Mama kajitafutia mwenyewe mali zake halafu uanze kumuwekea masharti ya kutumia!!! Hivi huyo mama haruhusiwi kupenda kabisa?? Akipenda basi lazima watoto wake wamchagulie? Tusiangalie upande mmoja, hata huyo mama hatendewi haki na mwanae. Dogo akizidi kusumbua saana na kama mama atamuonea huruma, ampangie sehem.
Ahsante broda. Mama anakunwa anakunika, chakuwashiani? Labda kama na wewe unamtaka mamayo, Mola aepushie mbali!
 
Kwa sisi tunaojua thamani ya utu hatuwezi kumaindi, mama si anafikishwa bwana? Wivu kwa mashemeji, wakwe, ni kawaida... Ila kama mtu mzima inabidi ujifunze kutomaindi.

Labda nikuulize, wewe mama yako angekanyagwa na nani tofauti na babako ungefurahi na vifijo na nderemo?

Akanyagwe na yeyote lakini sio serengeti ambaye tunasalimiana "mambo!" Na hata akimkanyaga nisimjue,na nikimjua asije home na asinikaribie kabsaa
 
We ambae sio mnafiki mama ako akileta serengeti boy ndani nyumbani kwenu muishi wote ni sawa kwako?

Inaweza isiwe sawa, lakini nitavumilia ama nitahama, siwezi kuleta noma anapopona mama angu...
 
Akanyagwe na yeyote lakini sio serengeti ambaye tunasalimiana "mambo!" Na hata akimkanyaga nisimjue,na nikimjua asije home na nisitambulishwe kabsaa

Unajipa stress za bure kijana, kama unaye mama alie hai na anadunda jua watu wanaruka nae vizuri, na sooner or later utakuja kujua nani anaruka nae, utachanganyikiwa.

Ngono sio dhambi, ni hitaji la kimwili na mama nae ni binadamu, bahati mbaya udhibiti wetu juu ya ngono ni dhaifu sana, unakuta kijana kama mimi naroll na gari kubwa tu, na nawababa vijana wabishi kama nyie na haiko mbaya.

Maisha yenyewe yako wapi? Nikuulize, ushawahi kulala na mwanamke wa umri mkubwa kuliko wewe?
 
Inaweza isiwe sawa, lakini nitavumilia ama nitahama, siwezi kuleta noma anapopona mama angu...

Mambo mengine ni heri uishie kusikia tu, hakuna kitu kinaleta fedheha kama hicho, mama mtu mzima mwenye watoto Wakubwa hivo kuleta mwanaume ndani ni fedheha kwa watoto, yani umekaa ndani afu maza yupo chumbani na kijeba? What a shame!!! Aende akaponee huko mbali sio kuleta kibuzi ndani big no
 
du kweli nimeamini dunia uwanja wa fujo kweli na wewe ubaomba ushauri,mbumbavu sana shem on u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom