Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,101
- 165,296
huyu jamaa dish limeyumba...
Kwakweli huyu ni fyatu
huyu jamaa dish limeyumba...
Sidhani kama hata miaka 28 amefika huyu...yani huyu ni mgonjwa mahututi kabisa bado siamini kama huu ndio mrejesho..Kwakweli huyu ni fyatu
Angekuwa kaoa labda kidogo ingeleta mantiki..ila uzini na mama yangu na tena kwenye nyumba yetu AF unataka heshima yangu,labda kama unipumbaze kwa miti shamba ulionayoo.
mie wangeshazika kabisa
Una watoto?, imewahi kuoa/kuishi na mwana mke wa rika lako????Nimeleta uzi Jana wa Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje? kuomba ushauri kuhusu huyu kijana ambae naishi na mama yake nyumba moja, na tunaishi na huyu kijana pia mwenye miaka 21, mimi Nina 34 na mpenzi wangu ana 51.
Lakini kinyume na matarajio yangu nimetukanwa sana kwenye uzi huo kwamba nimefuata pesa kwa mama huyo, kwamba mimi ni marioo.
Nimesikitishwa sana hivyo naomba kusahihisha.
(1) Wakati wanafungua chuo huyu kijana aliombwa na mama yake akakae hostel ili tupate nafasi ya kupumua mle ndani lakini akakataa, lengo la kukataa ni kutaka kutuvurugia mapenzi yetu, na ameapa atayavuruga tu kwa namna yoyote ile.
(2) Huyu kijana ana baba yake aliemkimbia mama yake na kwenda kuoa mwanamke mwingine, sasa mama yake nae akiwa na mpenzi kuna ubaya?
Na kwanini basi asiende kuishi kwa baba yake DSM?
Hadi anganganie hapa na kutuletea fujo!
Isitoshe mim ini mkubwa kwake 34 kwa 21 ni tofauti kubwa sana ya umri, mimi sio age mate wake, mnaobeza tofauti hiyo mnanishangaza sana.
(3) Ingekua tunazungumzia mwanaume ana hata 80 yrs na binti 18 yrs msingeona ajabu, tena akina dada wangekua wanashabikia kabisa, lakini inapotokea mwanamke ndie mkubwa inakua ajabu
Sielewi kwanini mnakua hivyo.
Huyu mwanamke wangu anajiweza kimaisha na ameamua kunisaidia mimi kimaisha kama mpenzi wake ambae nilikua najikongoja kimaisha, kuna ubaya?Mbona mwanaume tajiri anapomsaidia binti maskini maisha hamsemi?
Ikiwa kinyume chake ndio mnasema? Wakati kuna thawabu nyingi sana mwanamke akifanya hivyo.Nimemvumilia sana huyu kijana na nimefika mwisho, hawezi kunitangaza mimi mtaa mzima na kunidhalilisha kwa ndugu na jamaa, mbona alipotaka kufukuzwa na mama yake mimi niliingilia kati?
Mimi pia ni mafia, nafanya utu tu, sasa utu huo nauvua ngoja tuone sasa na nyinyi wanaume wenzangu humu ndani inakuaje mnashindwa kuniunga mkono na kunipa support kwa jambo hili?
Mnaungana na watoto wa kike kunishambulia badala ya kunishauri njia nzuri ya kutatua hili tatizo.Mimi na mpenzi wangu tulitaka kufunga ndoa siku nyingi ili tuweze kuishi kwa amani na upendo lakini kutokana na huyu kijana mama yake anaahirisha kila Mara, anajaribu kunivurugia.
Ngoja tutaona, nimechoka sasa.
You're dating his mother, not him. Mwambie mama yake. Kama amemshindwa, kubali tu. It goes with the territory.
Haha. It's tricky bro. You gotta PM the Invizibo to be granted that privilege. I'm just playing.How do you "Like" a post in JF nowdays???
Haha. It's tricky bro. You gotta PM the Invizibo to be granted that privilege. I'm just playing.
Tumia app yao.
Hahaha. You good, bro.Oh yes with the app I know...How do you get the "App" to work on a Computer?? (joke)
Wakuu,
Kuna huyu mama wa makamo ana 51 kwa sasa, kuna kazi ya matibabu nilimfanyia, huwa anasumbuliwa sana na mgongo, na mimi ni Herbalist, nina kijifrem changu Mwanza ambapo nafanya shughuli hizi.
Sasa huyu mama baada ya kufahamiana kwa muda tukajikuta tumekua wapenzi na baadae akaniomba nihamie kwake tuweze kuishi pamoja, kwamba yeye kwa makamo yale hawezi kuhamia kwangu, nikakubali nikahamia kwake, yupo vizuri sana kwa kweli, anaishi na watoto wake hapo, mmoja wa kiume 21 na mwingine 19 wa kike, kuna alieolewa yupo kwake.
Sasa huyu wa kiume yaani hanipendi kama nini sijui, anisalimii wakati namzidi mbali nina 34, nikitoka na gari la mama yake ananitazama kama mtu ameona mavi, ni mwanachuo, akiwa anamuomba mama yake pesa akinyimwa anakosa adabu kabisa na kumjibu kwamba mbona huyo mtu wako unampa hela!
Wakati yule binti mwingine wala hana neno na mimi, ananiamkia na kuniheshimu na huwa tunatoka nae outing mara kadhaa na mama yake.
Huyu kijana amekua akinizungumza vibaya hata kwa ndugu wengine wanaokuja nyumbani, imekua ni kero sana.
Naomba mawazo yenu
Leo umeniangusha, umekua mgumu sana kuelewa, yani umri wao, mapenzi yao, kama sheikh anahongwa, kama ni marioo hayo ni makubaliano yao hayahusu hata kidogo..... Tatizo ni huyu jamaa kuhamia pale home hebu assume ni wewe unaishi kwenu na mama halafu mama analeta kibuzi maringo humo ndani kiishi hivi utajisikiaje?