Unajipa stress za bure kijana, kama unaye mama alie hai na anadunda jua watu wanaruka nae vizuri, na sooner or later utakuja kujua nani anaruka nae, utachanganyikiwa.
Ngono sio dhambi, ni hitaji la kimwili na mama nae ni binadamu, bahati mbaya udhibiti wetu juu ya ngono ni dhaifu sana, unakuta kijana kama mimi naroll na gari kubwa tu, na nawababa vijana wabishi kama nyie na haiko mbaya.
Maisha yenyewe yako wapi? Nikuulize, ushawahi kulala na mwanamke wa umri mkubwa kuliko wewe?
Mambo mengine ni heri uishie kusikia tu, hakuna kitu kinaleta fedheha kama hicho, mama mtu mzima mwenye watoto Wakubwa hivo kuleta mwanaume ndani ni fedheha kwa watoto, yani umekaa ndani afu maza yupo chumbani na kijeba? What a shame!!! Aende akaponee huko mbali sio kuleta kibuzi ndani big no
Mambo mengine ni heri uishie kusikia tu, hakuna kitu kinaleta fedheha kama hicho, mama mtu mzima mwenye watoto Wakubwa hivo kuleta mwanaume ndani ni fedheha kwa watoto, yani umekaa ndani afu maza yupo chumbani na kijeba? What a shame!!! Aende akaponee huko mbali sio kuleta kibuzi ndani big no
Ha ha ha unataka ufanye kama sheikh yasinHebu niPM no ya mama yako
Halafu unapishana naye anakwenda bafuni na mama yako huku kavaa kitaulo mama yako kikanga mpaka kwapani
Hebu niPM no ya mama yako
Hebu niPM no ya mama yako
Sasa naona unavuka mipaka, mtafute kwa juhudi zako bhana we vipi?
Ha ha ha unataka ufanye kama sheikh yasin
Aaah qummmamae unakarusha teke kakaanguke huko na taulo lake
Watoto wadogo mnakuwa na vivu na mama zenu, mngeishi Ulaya ambako baba ruksa kuolewa si mngekufa kusikia baba anarukwa na kijana wa makamo yako?
Ndo maana Mungu katuacha hapa hapa bongo make anajua huko ulaya tusingestahimili
Na ndio maana hapa Bongo mama zetu wanaruka na vijana, wazee wetu wanaruka na mabinti na 'Tike Mboka', shari ulete wewe tu...
Hakuna shida cha muhimu heshima
How old are you? I think we can do some business...
51 jus like sheikh yasin's sweetheart teh, am I qualify?
Kuna mwingine nae jina yake in a anza na Sheikh wa huko huko Mwanza, nae alimlaghai kimapenzi mama mtu mzima almost 60 yrs of age, mama wa watu ana watoto wakubwa tu wengine washaolewa but akakolea kwa jamaa mdogo tu sikufahamu umri wake, mama alikua na Scania za kufanya import and export trade kwa barabara gari zote kumi sasa hana, pharmacy kubwa nne dar Mwanza Arusha and Zanzibar zote chali, supermarket nne now imebaki moja tu!! Nyumba kadhaa (sijui idadi kamili) but mbili nazofahamu jamaa alipiga bei mama now ana nyumba moja tu na gari ya kutembelea hana!
Hii yote ni kwa sababu mama alimuamini zaidi huyo jamaa na kuwadharau wanae na jamaa nae alikua akimwendea mama kwa sangoma mama akaingia mkenge kweli akabadili majina ya biashara zake zote na kuandika majina ya jamaa coz jamaa alimshawishi eti yeye mama abaki home tu ale maisha jamaa yeye atahangaikia biashara!!
Mpo wengi wa aina yenu kila mmoja na style yake ya Umarioo! Kumbukeni na nyie mna wazazi wa kike!!